Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Hawa jamaa wananishangaza sn yani.. wanaogopa uchaguzi utadhani ndege wamenunua CHADEMA😀😀Huwa nasema kila siku ccm ni mashetani sana.
Hawana tena hoja za kupeleka kwa wananchi wanachokifanya sasa hivi ni kuhakikisha wananchi hawana chaguo jingine zaidi ya mwanaccm tu