MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Na hapo anaingia katika historia ya Ma-Rais wa Tz!!! Kwamba aliwahi kuwepo rais jiwe bin mwamba? Rais wa Tz jukumu lake ni kuongoza serikali, serikali inakusanya kodi ambayo pamoja na kusambaza maendeleo bila kujali chama cha Rais, ndio hiyo hiyo inayomtumza yeye na familia yake. Kodi inakusanywa kutoka kwa au inalipwa na kila Mtanzania bila kujali kabila, jimbo, chama, dini, jinsia, nk.
And then mtu anayejiita Rais (tena Jiwe) anajivunia kuwanyima maendeleo majimbo ambayo hayachagui m-CCM. Mbona majimbo takribani asilimia 80 yalikuwa chini ya CCM katika muhula wake wa kwanza na bado wanalia na huduma za msingi kabisa za kibinadamu kv maji safi (achana na kuwa salama), matibabu, elimu (juzi pale Mkuranga aliwakemea wakurugenzi kuhusu watoto wa shule za msingi na sekondari kukosa madawati.
Kwa hivyo jimbo la Mkuranga lilikuwa na mbunge wa upinzani ndio maana walinyimwa pesa za madawati?). Ninakubaliana na M-JF aliyeleta neno utopolo, Huu ni utopolo mtupu. Hajui wajibu wa Rais na hajui wajibu wa mbunge (pamoja kuwa mbunge wa Chato kwa miaka 20).