Bad Man Tivu
JF-Expert Member
- Jan 16, 2019
- 388
- 421
Hv anavosemaga maendleo hayana vyama huwa anamaanisha nn wakuu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe kichwa upepo hela zinazojenga taifa ni za john au wananchi?? rudi darasani tuUkweli ndio huo.. hakuna wa upinzani atafanya hata 2% ambayo Magufuli amefanya hadi sekunde hii..
Na sijaona ni kitisho yeye kwani kushika panga n.k au maiki??? bali ukweli.kausema.. yeye ni Jembe.. kwamba yeye ndiye atawapa watakayo.. Munaweweseka kuita kitisho... eeeeh hao wenu maneno yao sio vitisho pia!!!!
#Magufulitanotena
Magufuli 2020 💯
Hajawahi kuwa mzima, Lissu kaja kumwongezea tu doziJiwe kachanganyikiwa!
Unaunga mkono wananchi kutishwa?Mi nyie watu nawashangaa sana,kauli ngumu za uongo za Tundu Lisu hamzisikii?
Mnatamani kusikia kilicho na amani mioyoni mwenu kama mtakavyo hiyo dunia na watu si mtengeneze ya kwenu?
Nyambafu
hii comment ni yako au kuna mtu anatumia account ya CONTROLA ?Kosa la JPM hapo lipo wapi? hivi tambo za SIMBA na YANGA mnazisikiaga
wale wapinzani wanavyotambiana inakuaga vipi huwa? hebu kumbukeni tupo
kwenye siasa Tambo Ruksa,wewe kama unaweza kutamba tamba Hayo wala sio matisho.
Nitashangaa iwapo Tume ya Uchaguzi itakaa kimya
Jpm anafel sana hawezi kuficha chuki zake mbele ya kadamnasi
Mi nyie watu nawashangaa sana,kauli ngumu za uongo za Tundu Lisu hamzisikii?
Mnatamani kusikia kilicho na amani mioyoni mwenu kama mtakavyo hiyo dunia na watu si mtengeneze ya kwenu?
Nyambafu
Keshadhihirisha rangi yake na msimamo wake. Ni nafasi ya wananchi kukubaliana nae au kuangalia njia nyingine mbadala yenye chachu ya mabadiriko. At least Tundu ameweka wazi kuwa hayuko tayari kuona anazulumiwaIla ni bora anayeonesha rangi zake halisi mapema ili upate la kuamua wewe mwenyewe.. jpm ni kama Trump
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu anaonekana chuki zimemtawala sana tangia kitambo. Naimani hata zile tumbuatumbia zingine zilikuwa kwaajili cha chuki binafsi.Jpm anafel sana hawezi kuficha chuki zake mbele ya kadamnasi
Duh... Kama ni hivyo, afadhali kupiga chini ccm wooteNaona uchaguzi huenda usiwe huru na wa haki kutokana na vitisho vya baadhi ya wagombea. Je, iko wapi demokrasia ya kumchagua unayemtaka? Hii sasa kali "Chagueni CCM au chagueni MAJUTO" by JPM.
View attachment 1560709
View attachment 1560714
Hesabu ndogo ya mantiki:Nitashangaa iwapo Tume ya Uchaguzi itakaa kimya
Unafiki mbaya ndio anajifanya maendeleo hayana vyama,,,??Naona uchaguzi huenda usiwe huru na wa haki kutokana na vitisho vya baadhi ya wagombea. Je, iko wapi demokrasia ya kumchagua unayemtaka? Hii sasa kali "Chagueni CCM au chagueni MAJUTO" by JPM.
View attachment 1560709
View attachment 1560714
Changanyikiwa mbayaaaaa. Naona shangazi wa Bunda anamkosesha amani sanaJiwe kachanganyikiwa!