Uchaguzi 2020 Mgombea urais anatoa vitisho kwa wananchi, NEC shughulikieni hilo

Uchaguzi 2020 Mgombea urais anatoa vitisho kwa wananchi, NEC shughulikieni hilo

Na hapo anaingia katika historia ya Ma-Rais wa Tz!!! Kwamba aliwahi kuwepo rais jiwe bin mwamba? Rais wa Tz jukumu lake ni kuongoza serikali, serikali inakusanya kodi ambayo pamoja na kusambaza maendeleo bila kujali chama cha Rais, ndio hiyo hiyo inayomtumza yeye na familia yake. Kodi inakusanywa kutoka kwa au inalipwa na kila Mtanzania bila kujali kabila, jimbo, chama, dini, jinsia, nk. And then mtu anayejiita Rais (tena Jiwe) anajivunia kuwanyima maendeleo majimbo ambayo hayachagui m-CCM. Mbona majimbo takribani asilimia 80 yalikuwa chini ya CCM katika muhula wake wa kwanza na bado wanalia na huduma za msingi kabisa za kibinadamu kv maji safi (achana na kuwa salama), matibabu, elimu (juzi pale Mkuranga aliwakemea wakurugenzi kuhusu watoto wa shule za msingi na sekondari kukosa madawati. Kwa hivyo jimbo la Mkuranga lilikuwa na mbunge wa upinzani ndio maana walinyimwa pesa za madawati?). Ninakubaliana na M-JF aliyeleta neno utopolo, Huu ni utopolo mtupu. Hajui wajibu wa Rais na hajui wajibu wa mbunge (pamoja kuwa mbunge wa Chato kwa miaka 20).
Magufuli akirudi ikulu,naamini watanzania tutageuka kivutio Cha utalii,yaana badala ya wazungu kwenda Serengeti,mikumi na Ngorongoro watakuwa wanakuja mitaani kushaangaa watanzania ni watu wa aina gani? Mtu mwenye akili unawezaje kuongozwa na hiki kituko kwa miaka 10?
 
Kwa hili utagundua kuwa hii ni tume ya kuhakikisha jiwe anatangazwa mshindi. Si ni tume yake aliyoichagua meenyewe?
Tume ni chombo huru haipokei maelekezo kutoka kwa mtu yyte inafanya kazi zake kwa mujibu wa Sheria hakuna aliyeko juu ya Sheria. Tume hoyeee...
 
Dada wangu Mzee wetu alivyojichafua toilet paper tu haitoshi hata kama ni bunda zima la karatasi lakini. Hapa ni kumrudisha Dar au Dodoma na kumuosha kwa maji pipa nzima.
Apewe mtu wa kumkontrol hata kwa kumnyang'anya mic.
Tukimuacha nchi ina kwenda upinzani chadema. Mpaka sasa chadema wanamvuto kuwasikiliza.
Turufu ya miradi imesikika sana kama wimbo wa taifa maana ilikuwa ndio sala ya bwana kwa miaka mitano.
Waje watu watakaoshawishi kuwapo kwa Uhuru wa kidemokrasia, amani na ustawi wa watu


Hiyo miradi yenyewe utadhani pesa inatoka mfukoni mwake na sio kutoka hazina.
 
KWA KWELI MUDA WA KUMPUMZISHA MAGUFULI UNAKARIBIA KWA KASI SANA.

Kauli gani hizi za kibaguzi? Kwani maendeleo anayaleta kutoka hela za mfukoni mwake?
Kwani wananchi wanaochagua upinzani hawalipi kodi kwa ajili ya kupata maendeleo yao bila kujali wamemchagua nani?

Inasikitisha sana kuona mtu wa kauli kama hii eti ndiye Rais wa nchi. Hajitambui kabisa
 
Kama wanaochagua upinzani hawapati miradi ya serikali kuna haja gani ya kuwa na vyama vingi, kwanini tupige kura.

Mantiki inaelekeza kuna la kufanya kabla ya vyama kushiriki uchaguzi.

Alichosema mkuu mgombea ndio ukweli wa kimantiki kutokana na chama chake.

Lakini ni nani wa kuhamasisha umma kukataa hali hiyo na kufanikiwa? Na sisi wenyewe wengi wetu ni bora leo nimetuliza njaa yangu!
 
Haya nayo yatapita. Mungu mkubwa miaka mitano sio mingi kiviile....
 
Huu ni upumbavu wa hali ya juu!kauli za kishenzi kabisa.....jitu limezeeka lakini bado halina hekima !kwani Jiwe hakuna alichokifanya tangu 2015 JIWE AMEFANYA WIZI NA MAUAJI YA RAIA WASIOKUWA NA HATIA
 
Hivi kwanini awamu hii unapenda sana visasi, kugawa wananchi, ukanda, ukabila umekomaa mno kipindi hiki.
 
Ukweli ndio huo.. hakuna wa upinzani atafanya hata 2% ambayo Magufuli amefanya hadi sekunde hii..

Na sijaona ni kitisho yeye kwani kushika panga n.k au maiki??? bali ukweli.kausema.. yeye ni Jembe.. kwamba yeye ndiye atawapa watakayo.. Munaweweseka kuita kitisho... eeeeh hao wenu maneno yao sio vitisho pia!!!!

#Magufulitanotena
Magufuli 2020 [emoji817]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnataka iwe Ccm tu bungeni mkakae wenyewe mnaanze kufitiniana wenyewe tuuuuu, kati ya wajinga wote wa ccm wewe unezidi[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Tunaishi kwa kupewa vitisho kila kukicha na kibaya zaidi tunaambiwa kuwa, tusikosee kuchagua. hapa ndio naona kuna haja ya mabadiliko
 
Andamaneni sasa mbuzi nyie

Kamtu kamoja kana ID tano kanaanzisha uzi na kujijibu
Bora wapinzani ni mbuzi lakini wanafanya mambo kama binadamu kuliko nyinyi binadamu lakini mnaishi na kuwaza kama mbuzi.
 
Back
Top Bottom