Uchaguzi 2020 Mgombea urais anatoa vitisho kwa wananchi, NEC shughulikieni hilo

Uchaguzi 2020 Mgombea urais anatoa vitisho kwa wananchi, NEC shughulikieni hilo

Sijawahi ona MTU anachuki kiasi hiki,ukizingatia nafasi aliyonayo hii haijakaa vyema,angekuwa was upande was pili kasema hayo moto ungewaka
Yaani mtu wa upande wa pili wangesemaje
 
Kosa la JPM hapo lipo wapi? hivi tambo za SIMBA na YANGA mnazisikiaga

wale wapinzani wanavyotambiana inakuaga vipi huwa? hebu kumbukeni tupo

kwenye siasa Tambo Ruksa,wewe kama unaweza kutamba tamba Hayo wala sio matisho.
Tumia akili yako uliyopewa na Mungu vizuri bro. Huyu ni raisi aliyepo madarakani mpaka sasa, anapotoa vitisho hadharani kwa walio chini yake ni sawa? Kwamba wasipomchagua ama wakichagua wapinzani watajuta? Kweli? Mpaka hapo alipo anaweza kutengua na kuteua yoyote amtakaye kwa sababu bado ni raisi. Sasa asitumie uraisi wake kuleta vitisho wakati sie tunajinasibu kwamba ni nch ya kidemokrasia. Demokrasia ni kitendo cha raia walio huru kuchagua wakitakacho, sio kwa kulazimishwa. Otherwise angepiga kampeni kutokea kwake, sio kutokea Ikulu.
 
Andamaneni sasa mbuzi nyie

Kamtu kamoja kana ID tano kanaanzisha uzi na kujijibu
 
Naona uchaguzi huenda usiwe huru na wa haki kutokana na vitisho vya baadhi ya wagombea. Je, iko wapi demokrasia ya kumchagua unayemtaka? Hii sasa kali "Chagueni CCM au chagueni MAJUTO" by JPM.
View attachment 1560709
View attachment 1560714

Hivi huyu mzee hanaga washauri,,, mbna ni pointless maneno yake

Kwa hiyo maendeleo sehemu pa diwani au mbunge wa upinzani hayatapelekwa
 
Ukweli ndio huo.. hakuna wa upinzani atafanya hata 2% ambayo Magufuli amefanya hadi sekunde hii..

Na sijaona ni kitisho yeye kwani kushika panga n.k au maiki??? bali ukweli.kausema.. yeye ni Jembe.. kwamba yeye ndiye atawapa watakayo.. Munaweweseka kuita kitisho... eeeeh hao wenu maneno yao sio vitisho pia!!!!

#Magufulitanotena
Magufuli 2020 💯

We ni mzigo kwa taifa hili...mbwa wangu ana thamani ya kuishi kuliko wewe
 
NEC ipi sasa? Hii iliyoteuliwa na yeye? Kuwa serious kidogo Basi. Kama huwezi andamana usitegemee mabadiliko
Mkuu nenda kaandamane, acha kubweka 🗣️ huku mitandaoni...!
 
Kosa la JPM hapo lipo wapi? hivi tambo za SIMBA na YANGA mnazisikiaga

wale wapinzani wanavyotambiana inakuaga vipi huwa? hebu kumbukeni tupo

kwenye siasa Tambo Ruksa,wewe kama unaweza kutamba tamba Hayo wala sio matisho.
Umewahi kusikia kitu kinaitwa maadili ya uchaguzi?
 
Naona uchaguzi huenda usiwe huru na wa haki kutokana na vitisho vya baadhi ya wagombea. Je, iko wapi demokrasia ya kumchagua unayemtaka? Hii sasa kali "Chagueni CCM au chagueni MAJUTO" by JPM.
View attachment 1560709
View attachment 1560714

Anazungumza utadhani amekwisha kushinda uchaguzi. Anadhani diwani ama mbunge ndiye wa kushindwa lakini yeye "mgombea Urais" ndiye wa kushinda tu...

Yaani Magufuli na CCM hawajui kabisa kuwa utendaji kazi wa Mungu muumba ni tofauti kabisa na fikra ama mipango ya binadamu....

Sasa Mungu aliyetuumba anakwenda kuonesha kuwa yeye ndiye Mungu wa kweli na wa haki na kwamba humpa uongozi yule yeye amtakaye na siyo anayejitaka yeye....
 
Ukweli ndio huo.. hakuna wa upinzani atafanya hata 2% ambayo Magufuli amefanya hadi sekunde hii..

Na sijaona ni kitisho yeye kwani kushika panga n.k au maiki??? bali ukweli.kausema.. yeye ni Jembe.. kwamba yeye ndiye atawapa watakayo.. Munaweweseka kuita kitisho... eeeeh hao wenu maneno yao sio vitisho pia!!!!

#Magufulitanotena
Magufuli 2020 [emoji817]
Kwa fedha za benki ya chato?. Ndii maana nasema mtaji mkubwa wa ccm ni wajinga walio wengi na wapumbavu wachache kama wewe. Hivi aliyafanya kwa fedha zake za mfukoni au kwa kodi?.
 
Naona uchaguzi huenda usiwe huru na wa haki kutokana na vitisho vya baadhi ya wagombea. Je, iko wapi demokrasia ya kumchagua unayemtaka? Hii sasa kali "Chagueni CCM au chagueni MAJUTO" by JPM.
View attachment 1560709
View attachment 1560714
Hapa hamna uchaguzi,yaani mtu anawaambia kabisa eti mkiniletea mtu wa chama kingine mtaniudhi wakati yeye mwenyewe ni mgombea,katoa kauli kama teyari ameshaapishwa
 
Maneno yapi hayo ya lisu
Mi nyie watu nawashangaa sana,kauli ngumu za uongo za Tundu Lisu hamzisikii?
Mnatamani kusikia kilicho na amani mioyoni mwenu kama mtakavyo hiyo dunia na watu si mtengeneze ya kwenu?

Nyambafu
 
Ukweli ndio huo.. hakuna wa upinzani atafanya hata 2% ambayo Magufuli amefanya hadi sekunde hii..

Na sijaona ni kitisho yeye kwani kushika panga n.k au maiki??? bali ukweli.kausema.. yeye ni Jembe.. kwamba yeye ndiye atawapa watakayo.. Munaweweseka kuita kitisho... eeeeh hao wenu maneno yao sio vitisho pia!!!!

#Magufulitanotena
Magufuli 2020 💯
Wanaccm bwana,Eti Mambo aliyofanya Magufuli,Mambo gani hayo,Sasa Kama amefanya Mambo kitu gani kinafanya alie lie
 
Andamaneni sasa mbuzi nyie

Kamtu kamoja kana ID tano kanaanzisha uzi na kujijibu
😂😂😂😂
5C2227D5-F5B2-4940-8E8B-4F366EF1D47B.jpeg
 
Back
Top Bottom