MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,297
Kwani imetishwa tume!?Nitashangaa iwapo Tume ya Uchaguzi itakaa kimya
Msajili wa vyama he mbona kimya!Watakaa kimya kama kawaida yao. Yeye si ndio kawateua. Unadhani wana la kufanya.
Ni kima kabisaHuyu mzee pimbi sana
Mi nyie watu nawashangaa sana,kauli ngumu za uongo za Tundu Lisu hamzisikii?Jiwe kachanganyikiwa!
Acha kutetea ujinga, tumia akili yako ya kuzaliwa. Nyie ndo mnamfanya azidi kuharibu badala ya kurekebishaUkweli ndio huo.. hakuna wa upinzani atafanya hata 2% ambayo Magufuli amefanya hadi sekunde hii..
Na sijaona ni kitisho yeye kwani kushika panga n.k au maiki??? bali ukweli.kausema.. yeye ni Jembe.. kwamba yeye ndiye atawapa watakayo.. Munaweweseka kuita kitisho... eeeeh hao wenu maneno yao sio vitisho pia!!!!
#Magufulitanotena
Magufuli 2020 [emoji817]
Duh...!!! What does this imply?Naona uchaguzi huenda usiwe huru na wa haki kutokana na vitisho vya baadhi ya wagombea. Je, iko wapi demokrasia ya kumchagua unayemtaka? Hii sasa kali "Chagueni CCM au chagueni MAJUTO" by JPM.
View attachment 1560709
View attachment 1560714
Kabisa mkuu, maamuzi yamebaki kwa wananchi tu!Hakuna sababu ya kuingingia ktk uchaguzi chini ya usimamizi wa tume hii.
lazima utakuwa unagwapi manyu wewe, si bure.....Ukweli ndio huo.. hakuna wa upinzani atafanya hata 2% ambayo Magufuli amefanya hadi sekunde hii..
Na sijaona ni kitisho yeye kwani kushika panga n.k au maiki??? bali ukweli.kausema.. yeye ni Jembe.. kwamba yeye ndiye atawapa watakayo.. Munaweweseka kuita kitisho... eeeeh hao wenu maneno yao sio vitisho pia!!!!
#Magufulitanotena
Magufuli 2020 💯
Hata ikiwa hawawezi bado watu wana uhuru wa kumchagua wamtakayeUkweli ndio huo.. hakuna wa upinzani atafanya hata 2% ambayo Magufuli amefanya hadi sekunde hii..
Na sijaona ni kitisho yeye kwani kushika panga n.k au maiki??? bali ukweli.kausema.. yeye ni Jembe.. kwamba yeye ndiye atawapa watakayo.. Munaweweseka kuita kitisho... eeeeh hao wenu maneno yao sio vitisho pia!!!!
#Magufulitanotena
Magufuli 2020 💯
Mgombea wenu ameishiwa hoja amebaki kuwatishia wananchi eti wakiwachagua wapinzani watajuta. Kwani hao wapinzani siyo watanzania?Ukweli ndio huo.. hakuna wa upinzani atafanya hata 2% ambayo Magufuli amefanya hadi sekunde hii..
Na sijaona ni kitisho yeye kwani kushika panga n.k au maiki??? bali ukweli.kausema.. yeye ni Jembe.. kwamba yeye ndiye atawapa watakayo.. Munaweweseka kuita kitisho... eeeeh hao wenu maneno yao sio vitisho pia!!!!
#Magufulitanotena
Magufuli 2020 [emoji817]
Kauli hizo hazijengiMgombea wenu ameishiwa hoja amebaki kuwatishia wananchi eti wakiwachagua wapinzani watajuta. Kwani hao wapinzani siyo watanzania?