Mgombea Urais CCM 2015: Vita kali yatabiriwa kati ya Wasira, Lowassa na Nchimbi

Mgombea Urais CCM 2015: Vita kali yatabiriwa kati ya Wasira, Lowassa na Nchimbi

naomba nikurekebishe mkuu!

Ataitwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mheshimiwa stephen masato wasira.
Huyu mkurya hana mpinzani ndani ya chama chake na nje ya ccm, kinachoonekana hapa ni majungu ya wafuasi wa ugaidi.
hivi alirudisha kadi ya nccr!
 
Lowassa is the best! NOT MATTER WHAT!

Kwenye msafara wa ........... hata panya wapo hivyo sikushangai,tena hao wasindikizaji kwa midundo na nyimbo zao ni nzuri sana na kawaida hawapendezi hata kuwaangalia wamevaa matambara au ngozi tena ya zamani eti ni fashion lakini midomoni mwao,hiyo sauti ni nzuri na mirindimo yao hautachoka kuiangalia wakati huo mwenye msafara kanyamaza tu anaangalia jinsi mnavyohangaika juu yake anaogopa asidhuriwe kama kina Prof. na kina Dr. Mw....... kabla msafara haujafika huko kulikokusudiwa
 
labda kama Membe hajaoteshwa!Nchimbi ni mfuasi wa Lowassa Ft.Rostam,Wassira maisha mazuri aliyonayo ni kutokana na kubeba mikoba ya Rostam na Lowasa alipotupwa na mrema NCCR Mageuzi hivyo nae ni mfuasi wa Lowassa!kama uchambuzi wako ni makini na wa ukweli basi CCM 2015 ni LOWASSA na rais Bora 2015 atatoka CDM na ni dr.SLAA
 
Wasiraana zaidi ya miaka 70,sina uhakika na Mengi ila niltaka kujua tu hata Sambeke naye alikuwa ana nia ya kugombea urais?au ni kunogesha taarifa tu.

Stephen Wasira

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jump to: navigation, search
[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="class: n, colspan: 2, align: center"]Honourable
Stephen Wasira
MP
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Minister of State in the President's Office for Social Relations and Co-ordination
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Incumbent
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]Assumed office
2010
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]President
[/TH]
[TD]Jakaya Kikwete
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Member of the Tanzanian Parliament
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Incumbent
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]Assumed office
2005
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Constituency
[/TH]
[TD]Bunda
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Majority
[/TH]
[TD]27,509 (68%)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Personal details
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Nationality
[/TH]
[TD]Tanzanian
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Political party
[/TH]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Alma mater
[/TH]
[TD]American University (B.A.), (MPA), (M.A.)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian politician serving as the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Co-ordination.

HAJIKA SABINI, 70.....NONDOZ ANAZO PIA
 
Oh... NDIO Maana WASSIRA anaongelea SIRI za SERIKALI - USALAMA wa TAIFA; Hizo ni SIRI hazitakiwi kuongelewa, kwenye FARAGHA Ina Maana anagombea URAIS? atakuwa Raisi MBAYA na DIKTETA kupindukia... SIJUI HIYO KATIBA MPYA itasaidia...
Ikitokea wasira akawa rais, mimi nahama nchi. Atakuwa ni rais mwenye roho mbaya na sura mbaya duniani. Nadhani huyu atavunja hata rekodi ya Idd Amin wa uganda. Kitu cha kwanza atahakikisha anabadili katiba na kufuta vyama vyote vya upinzani. Yeye siku zote anajua upinzani ni uadui.
 
Ana mke mzuri kuliko wewe!
Ana roho nzuri ajabu, uzuri wa tabia yake ni tofauti na sura yake.
 
Kwenye msafara wa ........... hata panya wapo hivyo sikushangai,tena hao wasindikizaji kwa midundo na nyimbo zao ni nzuri sana na kawaida hawapendezi hata kuwaangalia wamevaa matambara au ngozi tena ya zamani eti ni fashion lakini midomoni mwao,hiyo sauti ni nzuri na mirindimo yao hautachoka kuiangalia wakati huo mwenye msafara kanyamaza tu anaangalia jinsi mnavyohangaika juu yake anaogopa asidhuriwe kama kina Prof. na kina Dr. Mw....... kabla msafara haujafika huko kulikokusudiwa

Kelele za CHURA hazimzuii NG'OMBE kunywa maji! wauza nchi mko wengi, hatushangai sana
 
Hakuna Ubishi kuwa MEMBE AMEAMUA KUNYOOSHA MIKONO MIMI KWA UZOEFU WANGU NDANI YA SIASA ZA CCM MTU MWENYE NGUVU KUBWA NDANI YA CCM KWA MIEZI 16 ILIYOBAKI HADI KIKWETE KUONDOKA MADARAKANI NI EDWARD NGOYAI LOWASSA PIA KUMBUKENI NCHIMBI NI MFUASI MWAMINIFU KWA LOWASSA NA NI WAZRI MKUU MTARAJIWA WA LOWASSA AKIINGIA MJENGONI NA IKUMBUKWE LOWASSA ALIMSAIDIA SANA NCHIMBI KUUSHIKA UONGOZI WA UMOJA WA VIJANA UVCCM...

Kweli ananguvu sana! mipesa yote aliyo iba lazima awe na nguvu! shida inakuja nnje ya CCM kwa wananchi na waliochoka na usanii wake hawatakubari hata siku moja!
 
Nafasi ya kuzunguka dunia, kuhudhuria misiba ya watu maarufu,
kupiga picha na wasanii wa Hollywood na kupewa title ya Doctor...
Umesahau kucheka cheka ovyo, uzinzi, umatonya, kupeana vyeo vya kiushkaji, kutokuwa na maamuzi magumu, ufisadi , kupenda madem ect!
 
Back
Top Bottom