Kajunjumele BA
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 673
- 351
Mhh! yeyote atakayefikiri kwamba anaweza akabebwa kwa mitandao au makundi na kwa gharama yeyote kupitia ccm akiamini kabisa kwamba akiteuliwa ndiyo kibali cha kuwa Rais wa Tanzania kama ilivyokua ada atakuwa anafanya kosa kubwa sana. Kiongozi atakaye chaguliwa au anayetaka kujiwekea mazingira ya kuchaguliwa mwaka 2015 iwapo Mungu atamjalia kufika lazima awekeze kwa wananchi na hasa vijana ambao karibu ya asilimia 40 ya wapiga kura wapya wasiotaka hadithi za Paukwa pakawa .Labda iwapo ni mtifuano wa Magazetini na Habari maelezo.