Kajunjumele BA
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 673
- 351
My GOD.... Wote mambulula hao.. Hamna raisi hapo..
Jaribuni kuwa siriaz ndugu
Habari hii ingetoka gazeti lingine lolote makini ningekaa chini kusoma sio hili limesheheni upuuzi wa kifisadi
Naomba nikurekebishe Mkuu!
Ataitwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Stephen Masato Wasira.
Huyu Mkurya hana mpinzani ndani ya Chama chake na nje ya ccm, kinachoonekana hapa ni majungu ya wafuasi wa Ugaidi.
Inapendeza hebu tuige umagharibi kidogo, tupe CV yake
with all due respect hiyo siyo nuzi it is a joke the man's iq is closer to zero.Juzi kati , katika moja ya mahoteli Jijijini Dar, Waziri Emmanuel Nchimbi alikutana na kamati maalum aliyoiunda kuanza mchakato (matayarisho) ya kugombea urais kupitia chama cha Mapinduzi. Kikao cha hawali kiliafikiana kuanza mikakati ya kuanza kampeni za chini kwa chini kuwashawishi wajumbe wa kamati kuu kuanza kumkubali.
My Take:
Mnyukano naona unaanza rasmi ndani ya CCM, ambako makambi yaanza kujitokeza. Kuna kambi la Lowassa, Membe, Sitta na Sasa Nchimbi ambao wote watagombea urais kupitia CCM.
with all due respect hiyo siyo nuzi it is a joke the man's iq is closer to zero.