Uchaguzi 2020 Mgombea Urais CCM kuhutubia kwa kisukuma huko Mwanza. Huu ni ukabila. NEC tunasubiri kuona hatua kali dhidi yake

Mkuu unatumia nguvu nyiiingi pasipo sababu, imesemwa; mtu mzima akivukwa nguo huchutama ili aibu yake isionekane...
Sasa naona kama unazidi kutandaza miguu KULIKONI?
 
Ni kueleweshana tu mkuu. Hakuna ukabila wala udini kwani rasilimali zote zinatumika kwa faida ya wote.

Bandari zinajengwa kote, watoto wanasomeshwa kote, reli itatumiwa na wote. Ndege zinatumiwa na wote.

Tuhuma za ukabila ni michezo michafu ya kisiasa.
 
Hakuna atakaehoji wala hakuna atakaeguna yote ni sawa tu kwa maana MALOFA WAPUMBAVU HAWANA UTASHI!
ILA CHOCHOTE KITENGENEZWACHO NA KIKAPEWA SIFA BADALA YA KUSIFIWA KWA UBORA WAKE, KOKOTE AMBAKO HULAZIMISHWA VINAVYOONEKANA VIONWE NA KASORO ZISITAJWE HATA KAMA ZIPO "KUNA TATIZO KUBWA"
 
Kisukuma ni lugha kama zingine na hao watu ni wapole sana kwani wangekuwa ni wa makabila mengine yenye kujiona ndio kila kitu muda huu jamii yetu ingekuwa na ufa mkubwa.

Wasukuma wamedhalilishwa kisa rais anatoka Geita.
 
Jamii husika inafahamu sana Kisukuma. JPM anaongea lugha nyingi tu za Tanzania tuache wivu.
 
Tafuteni watu wawatafsirie. Jamaa anachanja mbuga nyie endeleeni kujifariji na hoja nyepesi zisizo na jipya.
Hoja za maana anazo huyo aliyefilisika kisiasa kama Nyerere alivyowahi sema. Aliyefilisika kisiasa hutumia kete ya ukabila na udini kupata madaraka. Na ndivyo huyo utopolo anavyofanya.
 
Hoja za maana anazo huyo aliyefilisika kisiasa kama Nyerere alivyowahi sema. Aliyefilisika kisiasa hutumia kete ya ukabila na udini kupata madaraka. Na ndivyo huyo utopolo anavyofanya.
Aliyefilisika ni yule anayetafuta kuhalalisha matatizo yake kwa kuyahamisha kwa wengine.

Hamjui maana ya ukabila zaidi ya kuongozwa na chuki za kipuuzi tu.
 
Katika kosa ccm watalijutia ni kumchaguakabila la kisukuma kuwa Rais.kwa mantiki hiyo urais kupitia ccm hautakaa utoke Kanda ya ziwa. Kipindi Cha uchaguzi mkuu itakuwa ni ngumu kuondoka mgombea wa Kanda ya ziwa asipitishwe hata Kama Hana sifa. Watu wa Kanda ya ziwa ni wengi na Wana uzao mkubwa na wanaendelea kuwa wengi na waliambiwa zaeni.
 
Aliyefilisika ni yule anayetafuta kuhalalisha matatizo yake kwa kuyahamisha kwa wengine.

Hamjui maana ya ukabila zaidi ya kuongozwa na chuki za kipuuzi tu.
Chuki za kipuuzi anazo huyo utopolo wen anayejaribu kuufuta mfumo wa vyama vingi ambao umewekwa na katiba ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…