Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Mkuu unatumia nguvu nyiiingi pasipo sababu, imesemwa; mtu mzima akivukwa nguo huchutama ili aibu yake isionekane...Nani alisema rais hawezi kutoka kaskazini? Ni maneno rasmi au ya vijiweni?.
Ukabila haupo kwa Magufuli, wala udini.
Samia anatoka Unguja.
Majaliwa Lindi.
Ummy Tanga.
Hao ni wasaidizi wachache tu muhimu wa rais na wote waislam na wenyeji wa mikoa ya mbali kabisa. Hapo sijawaongelea wakurugenzi wa mamlaka ambao ni waislam.
Sasa naona kama unazidi kutandaza miguu KULIKONI?