Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Sio kuendeleza ukabila. Vitendo ndivyo vinaendekeza ukabila kuliko lugha peke yake.Endelea kupamba kaburi lkn ndani mwake ni uvundo mtupu. Swali: Kutumia kilugha kwenye kampeni ni kuendeleza ubaguzi na ukabila. Kweli si Kweli??
Enzi za Mkapa TRA ilikuwa na wakurugenzi nane kutoka Mkoa mmoja wa kaskazini na hakuna aliyehoji chochote.
Nenda Nigeria ndio utaujua ukabila upo vipi.