Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utopolo ni wazi huwezi kuandika tofauti na ulichoandika. Mwambieni mwenyekiti wenu atoe maelekezo kwa tume kuandaa fomu zilizoandikwa kwa kisukuma ila wale anaowahutubia waweze kupiga kura bila kutatizwa na kiswahili wasichokielewa.Unaweza kuwa umejikwa kifikra pia kwa kuwa na tafsiri potofu ya kinachofanywa na serikali.
Wale wenye tafsiri sahihi wakawa ni wengi kuliko wa aina yako hivyo machungu uliyonayo yakawa ni kama kuikausha bahari kwa glasi ya maji.
Akienda kule Kagera na sisi Wahaya atuhutubie kwa Kihaya. Sawa!?Bora ya magufuli anaongea kisukuma, Lissu anaongea kingereza ni utumwa
Haya yote unaandika ukiwa ndani ya chumba mbele ya laptop yale yanayoendelea huko bara unayasikia kutoka kwa marafiki zako.WALIOSEMA WAZIMU PIA NI FANI HAWAKUKOSEA. HUWEZI ONA MATOBO WALA HUWEZI KUONA UKATAMBUA USICHOPENDA KUKIONA. UNAJUA WAZI UMASKINI WA NCHI HII UMEKUJAJE!! Kubeza na madharau ni silka ya watu wanaoamini kuwa wanajua kana kwamba wengine kasoro hawazioni. Yawezekana KWELI NINYI NI WENGI KAMA MAJI YA BAHARI LAKINI YASIYOFAA KUNYWEKA KWA WENYE KIU. Hata tende huanza kama kipele. Ila walisema wahenga mdharau mwiba huota tende hawakukosea.
Mwisho wa siku msomi kujipa sifa "...majalalani!!"
Vema tubakize akili kichwani kuliko kuzihamishia matumboni.
Huwa hamna hoja zaidi ya kuibua vihoja na kuvigeuza hoja.Wewe utopolo ni wazi huwezi kuandika tofauti na ulichoandika. Mwambieni mwenyekiti wenu atoe maelekezo kwa tume kuandaa fomu zilizoandikwa kwa kisukuma ila wale anaowahutubia waweze kupiga kura bila kutatizwa na kiswahili wasichokielewa.
Wewe utopolo huwezi andika tofauti na hii. Eti mko wengi!? Kwenye harakati za kutafuta Uhuru wa nchi hii mna mchango gani zaidi ya wale walio wachache!?Huwa hamna hoja zaidi ya kuibua vihoja na kuvigeuza hoja.
Kwamba ulitaka aandike akiwa wapi ili maandiko yake yawe na maana!? Tunangoja fomu zetu za kisukuma huku.Haya yote unaandika ukiwa ndani ya chumba mbele ya laptop yale yanayoendelea huko bara unayasikia kutoka kwa marafiki zako.
Wale wale wa Twitter republic huwa hamna jipya.Kwamba ulitaka aandike akiwa wapi ili maandiko yake yawe na maana!? Tunangoja fomu zetu za kisukuma huku.
Sawa twitter hata wewe unaingia humo. Fomu zetu za kisukuma kwetu tusiojua Kiswahili ni muhimu. Mkumbusheni mwenyekiti wenu.Wale wale wa Twitter republic huwa hamna jipya.
Tafuteni watu wawatafsirie. Jamaa anachanja mbuga nyie endeleeni kujifariji na hoja nyepesi zisizo na jipya.Sawa twitter hata wewe unaingia humo. Fomu zetu za kisukuma kwetu tusiojua Kiswahili ni muhimu. Mkumbusheni mwenyekiti wenu.
Hilo sio jukumu la tume, ni vyama vyenyewe kupeleka malalamiko kwa Kamati.Kazi kwao tume. Najua watamezea kwa kuwa ni boss wao.
Mhuu kumbe ndio lengo.Nchi hii ni ya Wasukuma, huwezi kuwatenganisha Wasukuma na Tanzania kwani ndo wengi.
JPM alipoanza kazi wapigaji wakajua atakuwa na kasi ya muda mfupi wakashangaa kumuona mwendo ule ule ndio wakaanza fitina ya ukabila.
Zile mishemishe zao haramu za mijini zilipozidi kubuma ndio wamezidisha nongwa lakini haiwasaidii kwani watu wengi wamemuelewa lengo lake haswa ni nini.
Sasa wanasema analeta ukabila kumbe kadri walivyokuwa wakimsimanga kuhusu ukabila wao ndio wamekuwa wakabila wabaya zaidi wakijiingiza katika kejeli na dharau kwa wasukuma hivyo kutenda dhambi wanauomtuhumu rais kuwa anaitenda.
Wawe wapole tu kwani kama Mungu akipenda Huyu ni mpaka 2025.
Ati upigaji umeisha!!!???JPM alipoanza kazi wapigaji wakajua atakuwa na kasi ya muda mfupi wakashangaa kumuona mwendo ule ule ndio wakaanza fitina ya ukabila.
Zile mishemishe zao haramu za mijini zilipozidi kubuma ndio wamezidisha nongwa lakini haiwasaidii kwani watu wengi wamemuelewa lengo lake haswa ni nini.
Sasa wanasema analeta ukabila kumbe kadri walivyokuwa wakimsimanga kuhusu ukabila wao ndio wamekuwa wakabila wabaya zaidi wakijiingiza katika kejeli na dharau kwa wasukuma hivyo kutenda dhambi wanauomtuhumu rais kuwa anaitenda.
Wawe wapole tu kwani kama Mungu akipenda Huyu ni mpaka 2025.
Nani alisema rais hawezi kutoka kaskazini? Ni maneno rasmi au ya vijiweni?.Ati upigaji umeisha!!!???
Lini makada waliacha uizi na ufisadi ilhali wamo ndani ya chaka wakisifu wa nyudi, nyimbo na mapambio? Je wataka tuhoji ya waziri yule mtembea na ilani kesi yake iliishaje? Lugumi je? Yako mengi ila ndani ya hoja kuna hoja "MLIPOSEMA RAIS HAWEZI TOKA KASKAZINI 2015 HAUKUWA UBAGUZI WA KIKABILA?" mchana inzi, usiku umbu!!!
Msimu wa embe mbovu ndio huu tutaona kila aina ya mizoga!!
Mkuu unatumia nguvu nyiiingi pasipo sababu mtu mzima akivukwa nguo huchutama ili aibu yake isionekane...Nani alisema rais hawezi kutoka kaskazini? Ni maneno rasmi au ya vijiweni?.
Ukabila haupo kwa Magufuli, wala udini.
Samia anatoka Unguja.
Majaliwa Lindi.
Ummy Tanga.
Hao ni wasaidizi wachache tu muhimu wa rais na wote waislam na wenyeji wa mikoa ya mbali kabisa. Hapo sijawaongelea wakurugenzi wa mamlaka ambao ni waislam.
Mkuu unatumia nguvu nyiiingi pasipo sababu, imesemwa; mtu mzima akivukwa nguo huchutama ili aibu yake isionekane...Nani alisema rais hawezi kutoka kaskazini? Ni maneno rasmi au ya vijiweni?.
Ukabila haupo kwa Magufuli, wala udini.
Samia anatoka Unguja.
Majaliwa Lindi.
Ummy Tanga.
Hao ni wasaidizi wachache tu muhimu wa rais na wote waislam na wenyeji wa mikoa ya mbali kabisa. Hapo sijawaongelea wakurugenzi wa mamlaka ambao ni waislam.