Uchaguzi 2020 Mgombea Urais CCM kuhutubia kwa kisukuma huko Mwanza. Huu ni ukabila. NEC tunasubiri kuona hatua kali dhidi yake

Huyo utopolo anaendeleza ukabila kama asili yake kule wanakouana nchi jirani. Kwa kifupi kama Nyerere alivyosema anayetumia ukabila na udini kutafuta madaraka ni wazi amefilisika kisiasa. Hana sera huyo utopolo.
 
Unaweza kuwa umejikwa kifikra pia kwa kuwa na tafsiri potofu ya kinachofanywa na serikali.

Wale wenye tafsiri sahihi wakawa ni wengi kuliko wa aina yako hivyo machungu uliyonayo yakawa ni kama kuikausha bahari kwa glasi ya maji.
Wewe utopolo ni wazi huwezi kuandika tofauti na ulichoandika. Mwambieni mwenyekiti wenu atoe maelekezo kwa tume kuandaa fomu zilizoandikwa kwa kisukuma ila wale anaowahutubia waweze kupiga kura bila kutatizwa na kiswahili wasichokielewa.
 
WALIOSEMA WAZIMU PIA NI FANI HAWAKUKOSEA. HUWEZI ONA MATOBO WALA HUWEZI KUONA UKATAMBUA USICHOPENDA KUKIONA. UNAJUA WAZI UMASKINI WA NCHI HII UMEKUJAJE!! Kubeza na madharau ni silka ya watu wanaoamini kuwa wanajua kana kwamba wengine kasoro hawazioni. Yawezekana KWELI NINYI NI WENGI KAMA MAJI YA BAHARI LAKINI YASIYOFAA KUNYWEKA KWA WENYE KIU. Hata tende huanza kama kipele. Ila walisema wahenga mdharau mwiba huota tende hawakukosea.
Mwisho wa siku msomi kujipa sifa "...majalalani!!"
Vema tubakize akili kichwani kuliko kuzihamishia matumboni.
Haya yote unaandika ukiwa ndani ya chumba mbele ya laptop yale yanayoendelea huko bara unayasikia kutoka kwa marafiki zako.
 
Wewe utopolo ni wazi huwezi kuandika tofauti na ulichoandika. Mwambieni mwenyekiti wenu atoe maelekezo kwa tume kuandaa fomu zilizoandikwa kwa kisukuma ila wale anaowahutubia waweze kupiga kura bila kutatizwa na kiswahili wasichokielewa.
Huwa hamna hoja zaidi ya kuibua vihoja na kuvigeuza hoja.
 
Haya yote unaandika ukiwa ndani ya chumba mbele ya laptop yale yanayoendelea huko bara unayasikia kutoka kwa marafiki zako.
Kwamba ulitaka aandike akiwa wapi ili maandiko yake yawe na maana!? Tunangoja fomu zetu za kisukuma huku.
 
Malalamiko kwa wakati huu yana utaratibu wake. Tume haiwezi kufanya kazi kwa threads za JF
 
Wahusika ambao ni wagombea wa vyama vya Siasa kwa mujibu wa Maadili ya Uchaguzi wanapaswa wao kupeleka malalamiko kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Kitaifa ndani ya Saa 72 na si kulalamika kupitia mitandao ya kijamii. Ndugu yangu Naantombe washauri wenzako hata wewe Soma Ukurasa wa 28 wa kitabu ulichochapisha utaona maelekezo.
PSX_20200911_142503.jpg
 
Sawa twitter hata wewe unaingia humo. Fomu zetu za kisukuma kwetu tusiojua Kiswahili ni muhimu. Mkumbusheni mwenyekiti wenu.
Tafuteni watu wawatafsirie. Jamaa anachanja mbuga nyie endeleeni kujifariji na hoja nyepesi zisizo na jipya.
 
JPM alipoanza kazi wapigaji wakajua atakuwa na kasi ya muda mfupi wakashangaa kumuona mwendo ule ule ndio wakaanza fitina ya ukabila.

Zile mishemishe zao haramu za mijini zilipozidi kubuma ndio wamezidisha nongwa lakini haiwasaidii kwani watu wengi wamemuelewa lengo lake haswa ni nini.

Sasa wanasema analeta ukabila kumbe kadri walivyokuwa wakimsimanga kuhusu ukabila wao ndio wamekuwa wakabila wabaya zaidi wakijiingiza katika kejeli na dharau kwa wasukuma hivyo kutenda dhambi wanauomtuhumu rais kuwa anaitenda.

Wawe wapole tu kwani kama Mungu akipenda Huyu ni mpaka 2025.
 
Ati upigaji umeisha!!!???
Lini makada waliacha uizi na ufisadi ilhali wamo ndani ya chaka wakisifu wa nyudi, nyimbo na mapambio? Je wataka tuhoji ya waziri yule mtembea na ilani kesi yake iliishaje? Lugumi je? Yako mengi ila ndani ya hoja kuna hoja "MLIPOSEMA RAIS HAWEZI TOKA KASKAZINI 2015 HAUKUWA UBAGUZI WA KIKABILA?" mchana inzi, usiku umbu!!!
Msimu wa embe mbovu ndio huu tutaona kila aina ya mizoga!!
 
Nani alisema rais hawezi kutoka kaskazini? Ni maneno rasmi au ya vijiweni?.

Ukabila haupo kwa Magufuli, wala udini.

Samia anatoka Unguja.

Majaliwa Lindi.

Ummy Tanga.

Hao ni wasaidizi wachache tu muhimu wa rais na wote waislam na wenyeji wa mikoa ya mbali kabisa. Hapo sijawaongelea wakurugenzi wa mamlaka ambao ni waislam.
 
Mkuu unatumia nguvu nyiiingi pasipo sababu mtu mzima akivukwa nguo huchutama ili aibu yake isionekane...
Sasa naona kama unazidi kitandaza miguu KULIKONI?
 
Nani alisema rais hawezi kutoka kaskazini? Ni maneno rasmi au ya vijiweni?.

Ukabila haupo kwa Magufuli, wala udini.

Samia anatoka Unguja.

Majaliwa Lindi.

Ummy Tanga.

Hao ni wasaidizi wachache tu muhimu wa rais na wote waislam na wenyeji wa mikoa ya mbali kabisa. Hapo sijawaongelea wakurugenzi wa mamlaka ambao ni waislam.
Mkuu unatumia nguvu nyiiingi pasipo sababu, imesemwa; mtu mzima akivukwa nguo huchutama ili aibu yake isionekane...
Sasa naona kama unazidi kutandaza miguu KULIKONI?
 
Back
Top Bottom