Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC

Wewe angalia jinsi huyu aliye amua kujitangaza hadharani kuwa ni jasusi mbobezi tahadhari aliyo kuwa ameichukuwa siku wamekumbatiana na Lissu. Yaani utadhania Lissu anavirus alivyo pandikiziwa Ubeligiji na Membe kalazimishwa kugusana naye. Uso wa Membe ulikuwa unaonesha mashaka haswa. Trust nobody.
 
Hivi Membe kabisa yupo serious ?Hope mbeleni atamwachia Lissu. To be honest Ukijumlisha kura za zote upinzani mwaka 2015 ,upinzani walimshinda Magufuli tatizo ushindi wao waliugawana.


Mahesabu yako hayako sawa Mh Magufuli alipata 58.46% of total votes. Wapinzania kwa ujumla wao walipata 41.54%
 
Hao makamanda itakuwa ni wale ambao sasa hivi hawana uelekeo lijuakali na wenzie
Teh teh teh teh, Ni Makamanda wa humu humu ukute na wewe ni mmoja wapo, tufanye tufukue kaburi moja humu uone😂😂😂😂tatizo la Makmanda ni Bendera fata upepo. Nakumbuka kabisa humu tushasema tunaenda na Mbobezi, nashangaa Mbobezi kachukua form watu wanalalama, anyways hainishangazi pia maana mnao uzoefu wa kuchange gia angani😂😂😂😁
 
Mbona hata Magufuli ndo anaomba misaada kwa hao mabeberu. Bila mabeberu kuwapa misaada mbona wote mtakufa kwa kwa malaria,kipindupindu,Ukimwi n.k
Unajua maana ya ' special mission' ? Hatujaongelea misaada hapa.
 
Back
Top Bottom