Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC

Mahesabu yako hayako sawa Mh Magufuli alipata 58.46% of total votes. Wapinzania kwa ujumla wao walipata 41.54%
Kumbe. Basi walimwibia Lowassa kura zake. Imebidi nikaangalie kumbe Lowasa alipata asilimia 39😭
 
Wewe angalia jinsi huyu aliye amua kujitangaza hadharani kuwa ni jasusi mbobezi tahadhari aliyo kuwa ameichukuwa siku wamekumbatiana na Lissu. Yaani utadhania Lissu anavirus alivyo pandikiziwa Ubeligiji na Membe kalazimishwa kugusana naye. Uso wa Membe ulikuwa unaonesha mashaka haswa. Trust nobody.
Kapicha mkuu
 
Kesho ni zamu ya Rais wa Jamhuri anatinga!! Hupendi bac zima data hiyo kesho siku nzima ili usikereke!! Ni ushauri tu kwako tena wa bure!!
 
Naamini Makubaliano kati ya CHADEMA na ACT yameshindwa.

Kuna Ishu ya kuachiana majimbo, nadhani hapo ndo pamekuwa pagumu

Kwangu naona ni sawa tu, waswahili wote ni ngumu kuungana maana maslahi binafsi ndio yako mbele. Ni bora kila mtu ashinde mechi zake, kuliko huko mbele ya safari kuishia kuchafuana kutokana na kurubuniwa na ccm. Mfano wa CUF na NCCR uko wazi.
 
CCM lazima wadate sababu hawajui wa deal na nani? Lissu ama Membe!! Huku kuna Zitto huku kuna Mbowe...Huku Kuna Maalim Self huku kuna kina Mdee; Lema; Msigwa, Sugu!!

Kweli uchaguzi huu unakwenda kuandika historia mpya kwa taifa letu.

Kweli safari hii aibu inakwenda kumwangukia mtu.

Sasa wanazigawana kura ndo hicho CCM wanakitaka
 
Kwangu naona ni sawa tu, waswahili wote ni ngumu kuungana maana maslahi binafsi ndio yako mbele. Ni bora kila mtu ashinde mechi zake, kuliko huko mbele ya safari kuishia kuchafuana kutokana na kurubuniwa na ccm. Mfano wa CUF na NCCR uko wazi.

Nakuunga mkono.

Huu uchaguzi ndiyo utakaoitangaza ACT nchi nzima na kupata inroads na kujisimika.

Bila vyama vyote kusacrifice, yaani kutaka kutumiana tu kama ngazi ili mmoja anufaike na mwingine awe mbeba viatu vya mwenzie bila shaka kungepelekea mmoja kuja kujuta huko mbeleni.

Mimi ninavyoona, Mwananchi ndiye mwamuzi, kama watampenda mgombea mmoja basi watampa huyohuyo bila kujali mwingine ni nani!

Haifai kumlaumu yeyote kuwa kapunguza kura za mwenzie, wakati kama kweli wananchi wamempenda huyo wanayedhani angeshinda basi wangempa tu bila kujali wengine wote waliopo
 
Absolutely, nimeona NCCR na CUF wakilalamika kuwa cdm iliwaiingiza mjini. Ili kuepuka hilo, ni vyema kila mtu ajitegemee na adui awe ni ccm kwa wote.
 
Back
Top Bottom