Nakuunga mkono.
Huu uchaguzi ndiyo utakaoitangaza ACT nchi nzima na kupata inroads na kujisimika.
Bila vyama vyote kusacrifice, yaani kutaka kutumiana tu kama ngazi ili mmoja anufaike na mwingine awe mbeba viatu vya mwenzie bila shaka kungepelekea mmoja kuja kujuta huko mbeleni.
Mimi ninavyoona, Mwananchi ndiye mwamuzi, kama watampenda mgombea mmoja basi watampa huyohuyo bila kujali mwingine ni nani!
Haifai kumlaumu yeyote kuwa kapunguza kura za mwenzie, wakati kama kweli wananchi wamempenda huyo wanayedhani angeshinda basi wangempa tu bila kujali wengine wote waliopo