Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

huna hoja, nakuach kama ulivyo, akili yaki ipo kama yule aliyenunuliwa papai akaahidi kumtoa mama yake mzazi.
Lisu ni kibaraka tu!

Mwaka huu tutamfundisha adabu kwamba nchi hii tutamchagua mzalendo!

Hatuchagui mtu ili mabeberu waongoze nchi kwa kivuli cha kibaraka wao!
 
Kweli baba wewe ndiye tumaini letu kwa sasa maana hata hela za kubet hatuna mtaani. Tumebaki kusubiri miujiza ya Yesu
 
Nimesoma kwa makini nikidhani nitaambulia lhoja zenye mantiki lakini kumbe umekuja kumtetea kibaraka tena kwa kumuumiza zaidi.

Jipange uje nanuongo unaowez a kushikika basi dah.

CHADEMA mmeishiwa sana na mmeshikwa pabaya
 
Tofauti ya BEBERU na MUHISANI ni ipi? Au hujhi maana ya beberu?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Beberu ni laghai na mwizi na muhisani ni yule anakujazia pale ulipokwama,lisu ni kibaraka wa mabeberu yuko chini ya wakala amsterdam,ameingia makubaliano ya kuwapa migodi na rasilimali zote wa belgium kwa ahadi ya kusaidiwa pesa za kampeni na walishamtangulizia zile billions kadhaa kupitia ile taasisi bahati nzuri vyombo vya ulinzi na usalama viligundua mapema na pesa zenyewe zikataifishwa
 
Duh kwa kweli hapa kuna kazi kubwa ya kuwatoa wa TZ isingizini na kusafisha bongo zao.
Mnashindwa kujiuliza mtoa msaada ni nani na anayetoa msaada anataka nini? Na mabeberu ni nani? Mfano, Yaani mnashindwa kulinganisha au kutofautisha mmiliki wa acacia au serikali ya jo izrael au canada,
Mnapewa majibu rahisi na huyu bwana na anaelewa kabisa anachozungumza ni upotovu akijua nyie wa TZ bado akili yenu imelala
 
Majibu rahis Sana Tundulisu anatakiwa ajue nyoka wote hawana madhara Kuna ambao sum yao ni dawa na wengine sum yao ni hatar
Hujaona Jiwe anaanza kuzindua vitu mara mbili mbili kama kipindi kile cha vyerehani?
bomba la Hoima si lilizinduliwa 2017?
Nakwambia atazindua hadi vyoo
 
Lisu ni kibaraka tu!

Mwaka huu tutamfundisha adabu kwamba nchi hii tutamchagua mzalendo!

Hatuchagui mtu ili mabeberu waongoze nchi kwa kivuli cha kibaraka wao!
Mzalendo ni kuwatukania mama zenu na dada zenu, ?
uzalendo kwako ni nini?
Nyie asilimia 85 ya Watanzania mapoyoyo ambao hamjasoma mnatuharibia sana hii nchi, imechafuka kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…