Uchaguzi 2020 Mgombea Urais mmoja leo kalalamika eti kuna watu wamejitokeza kumpinga kwa kugombea

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais mmoja leo kalalamika eti kuna watu wamejitokeza kumpinga kwa kugombea

Unaposema Ina maana ...... unajijibu kwa hisi zako, wewe hujui huu ni wakati wa kampeni, wakati wa kuamua. Mtindio wa ubongo hauhusiki, usidhani wenye utindio hawana upeo, nakazia jipange kihisia za matokeo, tumaini la mwelekeo unaowazia halipo.
Naomba ujibu swali kwa nini ana ona kuwa watanzania watamkataa? Jibu swali anaegombea ndio anaesema sio wewe Kwa nini anahofu? Kaona nini? Na Kwa nini anashangaa watu kujitokeza kugombea? Ina maaana hajui kuwa Tanzania ni ya vyama vingi?

Pia nauliza anaposema kuwa mkapa walipewa kumi inamaana amechanganyikiwa na kuona hicho ndio kigezo cha yeye kupewa? Je hajui kuwa kipindi hicho kulikuwa Hakuna mateso, mauwaji, utekaji, udhalilishaji, Ubaguzi, ukabila, ubabe, kukamata Kamata na kuweka gerezani Halafu unasema toa hela nikuachie, ikatiri na kuvunja haki xa biandamu, inamaaana hajui kuwa vikundi vya wasiojulikana hawakuwepo?
 
wana CHADEMA bana 😂 😂 😂 😂 , mbna kuna mgombea yeye anaongea kupigwa risasi ili apewe nchi
 
amelalamika sana akituhumu watu wa vyama vingne kujitokeza kugombea nafasi ya urais, akisema kuwa mbona Mkapa, Kikwete na Mwinyi wao walipewa miaka kumi? Anahoji kwani yeye ana makosa gani?
😂😂
 
wana cdm bana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , mbna kuna mgombea yeye anaongea kupigwa risasi ili apewe nchi
Huyo mgombea anatolea mfano wa aina za matukio yaliyotokea nchini na ya kwake ikiongoza kwenye chati... shida iko wapi? Kasema uwongo kwani? Na kwa sasa hivi amesha sema ya kutosha, anaongelea vitu vingine, na bado atabadilisha tu... yuko vizuri mnooooo.... ndio maana mnam-mind sana sana sana tena sana...
 
Mzee anazidi kuchanganyikiwa siku baada ya siku, yaani jamaa hapendi ushindani kbc sijui wakati anasoma ilikuwaje.
”Mwinyi, Mkapa,JK wamekaa miaka 10, Mimi wamejitokeza 15 kugombea, hivi kweli wanaona sifai kuwa Rais!?, nimewakosea nini hawa na wakipita wote lao moja kunitukana tu, hawana Ilani ya uchaguzi ni kutugawa, wengine waliwahi kuwa Wabunge kaangalieni Majimbo yao”-JPM [emoji41][emoji41]

Yeye ana dhani katufanyia nini jema?
 
Back
Top Bottom