Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Act sio wapinzani ujue hao ni CCM B located vyuma chakavu godown
Wapinzani hawaeleweki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapinzani hawaeleweki
Hivi CHADEMA si mlisema ACT ni CCM B au mmejisahaulisha?ACT tuunganishe nguvu na CHADEMA tuing'oe ccm mapema October.
Uko sahihi. This is a political arsenal to the opposition. Tusubiri kuona.Zitto amehojiwa kuhusu hilo akajibu kuwa Bw. Membe yupo bize kupanga baraza la mawaziri maana ameshashinda!
Mimi nadhani NEC inachezewa mchezo flani! Nadhani kuna makubaliano flani yasiyo rasmi kati ya ACT na CHADEMA. Muda utasema
Sasa kama hamkutaka kugawanya kura Kwanini mliweka mgombea? Jamaa keshakata upepo bado huyu mwengine mropokaji.Uvccm Bashiru alivyowaambia mjibu hoja ndiyo mnajibu hivi? Hahahahahaaaaa.
Yaani kwa akili yenu mnataka Membe asimame majukwaani ili awachanganye wapiga kura hatimaye kura zigawanywe. Zitto ataenedelea kuwanadi wagombea Ubunge wa ACT maana jina lake halipo karatasi ya wagombea uraisi, na Membe watu watakuwa wamesahau kama aligombea uraisi.
By the way kwani Membe ni mgombea uraisi wa CCM?
Anamwunga mkono Tundu Lissu.Wapinzani hawaeleweki
Sasa kama hamkutaka kugawanya kura Kwanini mliweka mgombea? Jamaa keshakata upepo bado huyu mwengine mropokaji.
Mgombea anaekubalika ni mmoja tu Magufuli peke yake hawa wengine uliowataja ni wakimbiza upepo.Kumbe wewe hakuna anachokijua. Kulikuwa na mtego wa kukata wagombea wanaokubalika kukwepa mtego huo ndiyo wakasimama wote wawili ili mmoja aje kumuachia anayekubalika zaidi. CCM hawakugundua wakaona wawaache wote ili wagawane kura. Utauliza sasa mbona Membe hajitoi na kumuunga mkono Lissu,huo in mtego mwingine wakifanya hivyo tu NEC na msajili watavishughulikia vyama vyote viwili ndiyo maana unaona Membe hapigi kampeni anayezinguka kuwanadi wagombea ubunge wa ACT ni Zitto.
Kama hujaelewa basi wewe ni kilaza kumekucha wa uvccm uliyeandika hii makala kwa kushirikiana na vilaza wenzako wa uvccm.
Mgombea anaekubalika ni mmoja tu Magufuli peke yake hawa wengine uliowataja ni wakimbiza upepo.
Hivi itabidi membe asitokee kwenye karatasi ya kupigia kura au??! Maana si NEC washampitisha na kama karatasi labda zishachapishwa?ACT tuunganishe nguvu na CHADEMA tuing'oe ccm mapema October.
Acha kutuchonganisha na jeshi letu la Polisi.Anakubalika kwa kusomba wanafunzi wa chekechea,shule za msingi na sekondari sasa hawa tokea lini wakawa wapiga kura. Pia analazimisha watumishi wote wakamsikilize wakati anajua hawamtaki ndiyo maana kila siku mpaka leo amesema wenzie wote Mwinyi,Mkapa na Kikwete walipewa miaka kwanini watanzania wanataka kumpa yeye miaka Kitano kwani amefanya dhambi gani. Anajua hata huko ndani ya CCM hawamtaki,unawatia watu njaa halafu utegemee wakachague asiubirie kuiba kura tu na mbaya zaidi mshindani wake mkuu wa mwaka akili zake kama za Magufuli tofauti mmoja in mwanasheiria mwingine mtaalamu wa maganda ya korosho zilizobanguliwa kwa mabomu ya JWTZ,akimuibia patachimbika mwaka huu halafu atadhangaa polisi watakavyomsaliti maana hajawaongezea mishahara kwa miaka mitano.
Acha kutuchonganisha na jeshi letu la Polisi.
Hana pesa hana kitu wamempora kila kitu na kumwacha mtupu A/C zake zimefungwa na baadhi ya A/c za rafiki zake zimefungwaMembe simuoni katika mizunguko ya kuwanadi wagombea ubunge wala kampani, what is happening?
Mtukufu magufuli anakubalika kwako wewe mnufaika wa utawala kandamizi wa kidiktetaMgombea anaekubalika ni mmoja tu Magufuli peke yake hawa wengine uliowataja ni wakimbiza upepo.
Ana agenda yake binafsi huyo mpuuziHana pesa hana kitu wamempora kila kitu na kumwacha mtupu A/C zake zimefungwa na baadhi ya A/c za rafiki zake zimefungwa
CHAMA DUME NI CCM TU......!!#mpigieni kura #MagufuliMGOMBEA URAIS WA ACT NI ZITTO AU MEMBE? TUKO HOI JAMANI
WARAKA WA KWANZA WA VIJANA
Sisi Vijana wa ACT kutoka mikoa mbalimbali tunaendelea kusikitishwa na mwenendo wa uendeshaji wa Chama chetu ambapo mpaka sasa hatuelewi kampeni inaendeshwa vipi zaidi ya kuona kila kitu kiko kwa mtu mmoja.
Pale Mlimani City tena kwa mbwembwe, Chama chetu kilimteua Ndugu Bernard Membe kuwa mgombea Urais na akaahidi kampeni ya kishindo. Kiongozi wa Chama naye akaahidi hivyo hivyo.
Cha ajabu na ambacho sasa tunahitaji majibu kwa Chama ni badala ya mgombea huyo rasmi wa Urais kufanya kampeni sasa hivi tunamuona kiongozi wa Chama, Zitto Kabwe akifanya mikutano mingi ya kampeni kuliko hata mgombea Urais.
Juzi tu Zitto Kabwe alikuwa Dar, akaenda Kigoma na tukamionankwenye ndege za ATC, akarudi Dar, akaenda Mafia, akaenda Mtwara sasa kaenda Kigoma, swali huyu ndiye mgombea Urais wetu mpya? Ameteuliwa kimya kimya? Mzee wetu Membe kapatwa na nini?
Hivi kwa stratejia hizi zilizoshindwa mapema tukipata kura kiduchu tutaanza vurugu za kudai tumeibiwa kura? Na nani kama mgombea wiki nne sasa hayuko majukwaani badala yake anafanya mtu ambae sio mgombea na kujibrand yeye.
Tena bahati mbaya Ndugu Zitto wala hamwombei kura mgombea, yeye ni kuhangaika na Magufuli na CCam na kumsifu na kujipendekeza kwa Lissu wa Chadema. Hakika hivi ni vituko!
Zaidi sasa kiongozi wetu wa vijana naye akitoka Kigoma kama Zitto, Abdul Nondo, anamzidi Membe eti kwa naye kusafiri kwenda kuzindua mikutano ya Wabunge nchi nzima!!
Hiki Chama hakina uongozi, hakina stratejia na kimechoka katika umri mdogo sana. Tunasikitika.
Yani tunaumia sasa sisi vijana tunaohangaika huku mitaani kukitangaza Chama, huku kiongozi wa Chama na mgombea Urais wakituahidi kampeni ya kishindo ndio hii ya Zitto kuzunguka kula per diem na Nondo aliyetoka chuoni mwaka jana kuwa ndio mwanasiasa wa kwenda kuzindua kampeni za majimbo na wakongwe wa siasa ndani ya Chama kuachwa??
Kweli!!!!!Ndio tumefikia this low?
Tunahitaji majibu. Yani ACT kimekuwa chama cha kikabila, utasikia Maalim Seif yuko Pemba, Zitto yuko Kigoma, mikoa mingine chama ziiiii. Inatuuma sana.
*Waraka wa Vijana wa ACT, Tanzania Bara*
CHAMA DUME NI CCM TU......!!#mpigieni kura #Magufuli
[/QUHilo dume lako we jifungie nalo ndani mpeane mabo, sisi tuache na usitupangie, tutampigia kura tunaemtakaCHAMA DUME NI CCM TU......!!#mpigieni kura #Magufuli