Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa ACT Wazalendo ni Zitto au Membe? Tuko hoi Jamani

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa ACT Wazalendo ni Zitto au Membe? Tuko hoi Jamani

Membe simuoni katika mizunguko ya kuwanadi wagombea ubunge wala kampani, what is happening?
 
Nina mashaka nyie si vijana wa ACT Wazalendo maana kuna ngazi ya kuanzia malalamiko kuliko humu tweeter cha muhimu ni kusubiri matokeo maana kazi inafanyika
 
Vijana tulieni ngoma inayochezwa hamuielewi,wala msiwe na viherehere.

Yaani wapemba wanasema Ng'ombe yupo uwanjani wananchi wanamcheza na atakoelekea ndiko atakakochinjiwa,sasa ikiwa Membe yumo hayumo azimio ni moja tu kuimaliza CCM na kuondoa vitalu vyake mara hii mpaka miche ya ccm inaondolewa,hayo ya membe yumo hayumo waacheni CCM wajiulize mbona mechi hazieleweki ?

CCM ndio nawasikia mitaani wakisema mbona mechi hazieleweki ?
 
Membe wameshindwa kumchomoa pesa
Za kampeni wamembwaga

CCM mgombea hubebwa na pesa za Chama kaenda na hiyo mentality kule usidhani chama kitambeba anaambulia patupu

Wameshindwa kukubaliana Membe yuko njia panda

Anyway Membe kwenda Act kaenda kushusha hadhi ya CV yake angejibakia tu
CV iendeleee kuwa strong

Damage kwenye CV yake ni kubwa mno
 
Membe wameshindwa kumchomoa pesa
Za kampeni wamembwaga

CCM mgombea hubebwa na pesa za Chama kaenda na hiyo mentality kule usidhani chama kitambeba anaambulia patupu...
Jitahidi kushughulisha ubongo wako mkuu. Upewe uwezo kuona upande wa pili wa kiganja chako. Omba uhai uvuke Oct 28.
 
Hata mimi pia, Membe anapanga Baraza la Mawaziri la Tundu Lissu. Ushindi tayari na nchi za Afrika Rais hapatikani jukwani kama alivyosema. Wanadai eti hatuna Tume Huru za Uchaguzi. Wanatuchagulia wao Rais wanayemtaka bila hivyo nchi za Afrika hazina uwezo wa kuwatoa madarakani watawala. Omba uhai Oct 28 uwepo.
Nimepiga Political Science. Nimekuelewa mkuu wangu.
 
Waraka mzuri...Maalim anapambana kivyake Zenji..Membe sio mpinzani hajawahi kuwa mpinzani na hatakaa awe mpinzani..Zitto analinda ubunge wake
 
Huna akili, vijana wa act akina Abdul Nondo hawawezi kuandika pumba hizi. Halafu unajua ngome ya vijana Act sana account verified hapa JF?
 
Waraka mzuri...Maalim anapambana kivyake Zenji..Membe sio mpinzani hajawahi kuwa mpinzani na hatakaa awe mpinzani..Zitto analinda ubunge wake

Mkuu unacheza ngoma ya UVCCM ambao wanataka Membe apige kampeni hili kura zigawanywe. Amke mzee hao wanamwagia Petroleum kwenye moto kwa faida ya CCM. CCM wapigwa coalition ya kiufundi sasa wamestuka wamekuja na hii style ili kuwachanganya wananchi.
 
Ukiendlea kubaki huko unaweza kuja kuwa taahira siku za baadae maana mwenyewe umejionea hao mabaranjuna wanachokifanya. Cha kufanya ni kuwahi mapema sana wewe na vijana wenzako wote mnaojitambua kurudi nyumbani baba atakupokea. CCM OYEE
 
Membe wameshindwa kumchomoa pesa
Za kampeni wamembwaga...

Mmepigwa kikachero, sasa Membe akishusha CV yake nyinyi CCM mliomfukuza inabidi mshangilie.

Pale mwanzo hamkujua mumzuie yupi mkaamua kuwaache wote ili kura zigawanywe kumbe wenzenu walikuwa wanawapiga Kikachero. Pambaneni na Lissu huko achaneni na habari za Membe.
 
Ukiendlea kubaki huko unaweza kuja kuwa taahira siku za baadae maana mwenyewe umejionea hao mabaranjuna wanachokifanya. Cha kufanya ni kuwahi mapema sana wewe na vijana wenzako wote mnaojitambua kurudi nyumbani baba atakupokea. CCM OYEE

Hao vijana wa uvccm unataka eahamie CCM Mara ngapi? Kwani walihama lini?
 
Hao vijana wa uvccm unataka eahamie CCM Mara ngapi? Kwani walihama lini?
Ina maaana kiongozi hujawaelewa hilo baraza la vijana wa ACT au vp? Vijana wamechoshwa wanaona bora watapike nyongo. kwani UVCCM kiongozi wao ni zito?
 
Ina maaana kiongozi hujawaelewa hilo baraza la vijana wa ACT au vp? Vijana wamechoshwa wanaona bora watapike nyongo. kwani UVCCM kiongozi wao ni zito?

Uvccm Bashiru alivyowaambia mjibu hoja ndiyo mnajibu hivi? Hahahahahaaaaa.

Yaani kwa akili yenu mnataka Membe asimame majukwaani ili awachanganye wapiga kura hatimaye kura zigawanywe. Zitto ataenedelea kuwanadi wagombea Ubunge wa ACT maana jina lake halipo karatasi ya wagombea uraisi, na Membe watu watakuwa wamesahau kama aligombea uraisi.

By the way kwani Membe ni mgombea uraisi wa CCM?
 
Hesabu inakwama,Zitto yeye anatafuta wabunge wa kutosha ndio sababu anazunguka sehemu nyingi.
Membe simuelewi,sijui ana bifu na Zitto au pesa za kampeni ni shida.
@Zitto kasema Membe yuko anapanga Baraza la Waziri kwani wana uhakika na ushindi
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom