Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa ACT Wazalendo ni Zitto au Membe? Tuko hoi Jamani

Zitto amehojiwa kuhusu hilo akajibu kuwa Bw. Membe yupo bize kupanga baraza la mawaziri maana ameshashinda!

Mimi nadhani NEC inachezewa mchezo flani! Nadhani kuna makubaliano flani yasiyo rasmi kati ya ACT na CHADEMA. Muda utasema
Uko sahihi. This is a political arsenal to the opposition. Tusubiri kuona.
 
Sasa kama hamkutaka kugawanya kura Kwanini mliweka mgombea? Jamaa keshakata upepo bado huyu mwengine mropokaji.
 
Upepo ushavuma tayari - Bara ni Lissu na Zenji ni Maalim Self. Muda ukifika Membe atapanda jukwaani kukoleza moto wa Mzee wa Maono.
 
Sasa kama hamkutaka kugawanya kura Kwanini mliweka mgombea? Jamaa keshakata upepo bado huyu mwengine mropokaji.


Kumbe wewe hakuna anachokijua. Kulikuwa na mtego wa kukata wagombea wanaokubalika kukwepa mtego huo ndiyo wakasimama wote wawili ili mmoja aje kumuachia anayekubalika zaidi. CCM hawakugundua wakaona wawaache wote ili wagawane kura. Utauliza sasa mbona Membe hajitoi na kumuunga mkono Lissu,huo in mtego mwingine wakifanya hivyo tu NEC na msajili watavishughulikia vyama vyote viwili ndiyo maana unaona Membe hapigi kampeni anayezinguka kuwanadi wagombea ubunge wa ACT ni Zitto.

Kama hujaelewa basi wewe ni kilaza kumekucha wa uvccm uliyeandika hii makala kwa kushirikiana na vilaza wenzako wa uvccm.
 
Mgombea anaekubalika ni mmoja tu Magufuli peke yake hawa wengine uliowataja ni wakimbiza upepo.
 
ACT ndo kushnei tena.

Tambo zote kapuni
 
Mgombea anaekubalika ni mmoja tu Magufuli peke yake hawa wengine uliowataja ni wakimbiza upepo.


Anakubalika kwa kusomba wanafunzi wa chekechea,shule za msingi na sekondari sasa hawa tokea lini wakawa wapiga kura. Pia analazimisha watumishi wote wakamsikilize wakati anajua hawamtaki ndiyo maana kila siku mpaka leo amesema wenzie wote Mwinyi,Mkapa na Kikwete walipewa miaka kwanini watanzania wanataka kumpa yeye miaka Kitano kwani amefanya dhambi gani. Anajua hata huko ndani ya CCM hawamtaki,unawatia watu njaa halafu utegemee wakachague asiubirie kuiba kura tu na mbaya zaidi mshindani wake mkuu wa mwaka akili zake kama za Magufuli tofauti mmoja in mwanasheiria mwingine mtaalamu wa maganda ya korosho zilizobanguliwa kwa mabomu ya JWTZ,akimuibia patachimbika mwaka huu halafu atadhangaa polisi watakavyomsaliti maana hajawaongezea mishahara kwa miaka mitano.
 
ACT tuunganishe nguvu na CHADEMA tuing'oe ccm mapema October.
Hivi itabidi membe asitokee kwenye karatasi ya kupigia kura au??! Maana si NEC washampitisha na kama karatasi labda zishachapishwa?
Maana technically jina lake likiingia kwa karatasi kuna bado kugawana kura hata akijitoa.
 
Wewe aliyekwambia ndani ya CCM hawamtaki ni nani wakati wewe upo nje? Hakuna mwana CCM yeyote asiemkubali labda wale mamluki waliopigwa chini kama kina Membe na wenzake na woye wenye uroho na uchu wa madaraka.
 
Acha kutuchonganisha na jeshi letu la Polisi.
 
Acha kutuchonganisha na jeshi letu la Polisi.


Subiri uone Polisi watakavyowalinda raia wanaoandama kupinga wizi kura mpaka Magufuli aachie Ikulu,si alikuwa anawatuma wale vinyago wake kule bungeni wakiongozwa na Ndugai eti wakirudi wanakuja kubadilisha katiba ili Magufuli aongoze mpaka kifo.

Tatizo Magufuli alijisahau sana akawa anawajibu watu jeuri tu siongezi mishahara Mimi akitegemea upinzani utakufa kwa sababu ya vitisho na ubabe wake kumbe ndiyo alikuwa anaimarisha upinzani kwenye yonyo za watu. Hata kipindi hiki cha kampeni bado anaendelea na vitisho na ubabe.

Nikushauri tu ndigu yangu husimchahue huyu jamaa miaka mitano ya majaribio inamtosha maana 2015 aliokota dodo chini ya mbuyu tu,ilikuwa zari la mentali tu akalitumia kukandamiza watu huku akijificha kwenye kichaka cha maendeleo ya vitu wakati Kikwete alifanya maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu udhaifu wake ulikuwa kwenye kudhibiti nidhamu kwenye utumishi wa Umma,Magufuli angerekebisha hapa tu angekuwa bonge la Raisi.

Eti leo hii ajira mpaka kwa hisani ya magufuli,hakuna kuongeza mishahara,sekta kaiangusha kabisa. Kikwete alikuwa anaajiri sekta ya elimu na afya from certificate to graduate wote kila mwaka,na watumishi wanaongezewa mishahara na kupanda madaraja,maendeleo ya vitu aliyoyafanya ni kazi kuyahesabu.

2015 nilimshabikia na kumpigia kura Magufuli nikitegemea ataleta nidhamu kwenye utumishi wa umma. Niligundua magufuli hafai kwenye sakata la vyeti feki pale alipofumbua macho suala la Makonda,nikajua hapa hakuna kitu na kweli yaliyofuatia ni Mateso tu njaa kila kona ya nchi. Kila sehemu anayogusa anaharibu amebaki kuwa yule yule waziri wa ujenzi wa Kikwete.
 
Membe simuoni katika mizunguko ya kuwanadi wagombea ubunge wala kampani, what is happening?
Hana pesa hana kitu wamempora kila kitu na kumwacha mtupu A/C zake zimefungwa na baadhi ya A/c za rafiki zake zimefungwa
 
Mgombea anaekubalika ni mmoja tu Magufuli peke yake hawa wengine uliowataja ni wakimbiza upepo.
Mtukufu magufuli anakubalika kwako wewe mnufaika wa utawala kandamizi wa kidikteta
 
Hana pesa hana kitu wamempora kila kitu na kumwacha mtupu A/C zake zimefungwa na baadhi ya A/c za rafiki zake zimefungwa
Ana agenda yake binafsi huyo mpuuzi
 
CHAMA DUME NI CCM TU......!!#mpigieni kura #Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…