Acha kushushia hadhi leseni broo. Leseni ina jina la mmiliki na inatambulika kisheria na TRA wana kumbukumbu zake. Hizo photocopy za vitambulisho ndo ukachukulie mkopo benki? Benki gani? Hata VICOBA tunakutimua kudadeki. Yaani kitu ambacho unaweza kumuhasima mtu na ikawa halai yake ukachukulie mkopo?... duh! Vitambulisho vyenyewe si biashara? Vinauzwa vile na vimetungiwa sheria sijui kanuni in short havistahili kuitwa vitambulisho badala yake ni LESENI waache kuhadaa watanzania.
Kwa PhD hizi za UDSM bora Mimi nisiyesoma kabisaEti huyu ni Dr.!
Garama yake ni kiasi gani, havina tofauti na vyashuleKwa hiyo ulitaka wajasiriamali Tanzania nzima wapewe bure? Wewe utauwa na akili timamu kweli? Hata Cdm inaweza kufanya hivi?
Vinatumika kuunda vikundi vya wajasiriamali na wanachukua mikopo kama vikundi. Hivi vinakuwa kama uthibitisho kuwa wana kikundi ni wajasiriamali. Tatizo Chadema ni kupinga pinga tu. Hii haitusaidiiMATAGA umemuelewa mgombea wenu au anawachanganya mnashindwa hata kumtetea Leo hii nilitarajia mkurugenzi watume aulizwe kuwa ni bank gani wanakopesha kwakupitia hivi vitambulisho visivyo na jina wala picha?je mgombea yupo sahihi au la?
20000 tu.Garama yake ni kiasi gani, havina tofauti na vyashule