Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
wewe ndo unatetea nimekuambia lete ushahidi siyo unaandika uharo humu ,unatetea kitu we mwenyewe huna uhakika msione watu wajinga kama nye,mmekuwa misukule kila kitu unatetea yaani mmekuwa vilaza grade IKawaulize wanufaika wa mikopo wanakigamboni. Halafu ukishapata majibu ujifunze kuongea vitu unavyovijua sio kuongea ongea tuu