Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CCM aelezea faida za Kitambulisho cha Mjasiriamali

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CCM aelezea faida za Kitambulisho cha Mjasiriamali

Nitajie benki moja iliyotoa mkopo kwa kitambulisho kisicho na jina. Ambacho Leo anaweza kuwa nacho Hamis kesho akakiokota Maiko kikawa chake.
CRDB imetoa sana mikopo Wilaya ya Kigamboni tawi la Kibada.
 
Kwa hiyo ulitaka wajasiriamali Tanzania nzima wapewe bure? Wewe utauwa na akili timamu kweli? Hata Cdm inaweza kufanya hivi?
Kwani kitambulisho cha NIDA au cha mpiga kura wewe umevilipia bei gani? Au TIN inalipiwa bei gani?
 
Hujui maisha wewe mtoto wa mama. Mnaunda kikundi cha watu watano mnaofahamiana ili iwe rahisi kupatikana. Na benki inawakopesha.
Hiyo mbona ilikuwepo kabla ya vitambulisho??? Kampuni kama black wamekopesha sana tena muda mrefu bila hata hivyo vitambulisho.
Na hiyo siyo juhudi ya serikali mana hao masikini wanalipa riba kubwa hadi huduma.
Msitudanganye hapa
 
Leseni tu ya biashara hukopesheki kirahisi sembuse kitambulisho ambacho hata jina lako halipo kwenye icho kitambulisho?

Magufuli bado anafikiri watz ni wale wa miaka ya 60 ambao elimu yao kubwa ilikuwa shule ya msing?
 
Kwahyo kabla ya vitambulisho wajasiriamali walikuwa hawawezi kuunda vikundi?
Vinatumika kuunda vikundi vya wajasiriamali na wanachukua mikopo kama vikundi. Hivi vinakuwa kama uthibitisho kuwa wana kikundi ni wajasiriamali. Tatizo Chadema ni kupinga pinga tu. Hii haitusaidii
 
Dhamana ndio hicho kikundi,na lazima mthibitishe kama ni wajasiriamali. Na ni mikopo ya pesa ambazo sio uweke bond ya nyumba. Tumia akili wewe.
Unajua taratibu ya kuwa na kikundi kinachoweza kukopesheka bank au unadhani unaongea na mabwege wenzio hapa?
 
"Vitambulisho vya Ujasiriamali vina faida, unaweza hata kukopa kwenye Mabenki kwa kutumia vitambulisho hivi, maeneo kama Kigamboni wameweza kupangiwa kukopeshwa, vinatumika hadi kwenye Bima za Afya, mkituchagua vitaendelea ili kulinda maslahi ya wanyonge"-JPM

Kama wewe kweli ni Rais wa wanyonge, ungevitoa Vitambulisho hivi bure kwa wanyonge ili uwasaidie waweze kupata mikopo ya biashara kirahisi. Hakika wanyonge wasingekusahau.
Tumia akiri, kila mwananchi anapaswa kulipa kodi, uwe wa hali gani utalipa kodi ilimladi unajishughulisha, sasa wewe unasema wasilipe wakati miundombinu wanatumia?
Sasa nani atatakiwa kulipa kisha wengine watumie bure?
 
Waulizeni kigamboni wanavitumiaje kupata mikopo na bima sio mnapinga you vitu msivyovijua
 
"Vitambulisho vya Ujasiriamali vina faida, unaweza hata kukopa kwenye Mabenki kwa kutumia vitambulisho hivi, maeneo kama Kigamboni wameweza kupangiwa kukopeshwa, vinatumika hadi kwenye Bima za Afya, mkituchagua vitaendelea ili kulinda maslahi ya wanyonge"-JPM

Kama wewe kweli ni Rais wa wanyonge, ungevitoa Vitambulisho hivi bure kwa wanyonge ili uwasaidie waweze kupata mikopo ya biashara kirahisi. Hakika wanyonge wasingekusahau.

Wanyonge watanyongwa kwa kutoa sh 20,000/= na watepewa haki ya kukopa benki.
 
Kama vitambulisho vyenyewe vya taifa mtu hakopesheki hizi takataka ambazo hazina hata picha nani atakuelewa?
 
Mkopo ulianza lini kuwa upuuzi? Au wakopeshwaji na wakopeshaji ndio wapuuzi???
niambie ni bank gani inatoa mikopo kwa hiyo kitambulisho,bank inaitwaje siyo unaleta bla bla
 
Dokta wa korosho! Hahahahaaaaaaa

Huyu sijui hata kama anastahili kuhitimu kidato cha nne!

Mtu asiyeweza japo kuongea Kiswahili, unategemea nini?
Cha ajabu nilimsikia akiongea yule 'mtoto wa dada wa pale wizara ya fedha' ambae Lissu hua anamsema na yeye kiswahili kinampa shida,sasa sijui ni tatizo la familia/ukoo hilo.
 
niambie ni bank gani inatoa mikopo kwa hiyo kitambulisho,bank inaitwaje siyo unaleta bla bla
Kawaulize wanufaika wa mikopo wanakigamboni. Halafu ukishapata majibu ujifunze kuongea vitu unavyovijua sio kuongea ongea tuu
 
Back
Top Bottom