Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hakuna benki inayoweza kumkopesha mtu kwa vigezo vya kijinga na kipumbavu kama hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Vitambulisho vya Ujasiriamali vina faida, unaweza hata kukopa kwenye Mabenki kwa kutumia vitambulisho hivi, maeneo kama Kigamboni wameweza kupangiwa kukopeshwa, vinatumika hadi kwenye Bima za Afya, mkituchagua vitaendelea ili kulinda maslahi
Vinatumika kuunda vikundi vya wajasiriamali na wanachukua mikopo kama vikundi. Hivi vinakuwa kama uthibitisho kuwa wana kikundi ni wajasiriamali. Tatizo Chadema ni kupinga pinga tu. Hii haitusaidii
Magufuli anapenda kuhutubia mikutano ya hadhara ambako hakuna atakaemuuliza swali. Anaongea yeye na kuimbiwa mapambio muda ukiisha anaondoka.Meko aache kuruka ruka;
1. Hoja ni kwa nini kama ni vitambulisho vilipiwe?
2. Na kwa nini vilipiwe kila mwaka hata kama havija haribika au kupotea?
3. Fedha zinazokusanywa ni kiasi gani na zinaingia mfuko gani?
4. Kwa kuwa yeye ni mtu wa matamko kwa nini asiagize tu bila kutoza hela kwa hawa 'wanyonge'?
Alisema sio lazima, je inawezekanaje kitambulisho kikawa hiyari[emoji116][emoji116]
View attachment 1585767
Huyu mzee sasa hivi ana bichwa lisilokuwa na ubongo maana akili yote amekabidhi kwa Polepole! Kanatembea na kopo tupu! Benki gani inapokea kitambulisho kwa ajili ya kutoa mkopo?"Vitambulisho vya Ujasiriamali vina faida, unaweza hata kukopa kwenye Mabenki kwa kutumia vitambulisho hivi, maeneo kama Kigamboni wameweza kupangiwa kukopeshwa, vinatumika hadi kwenye Bima za Afya, mkituchagua vitaendelea ili kulinda maslahi ya wanyonge"-JPM
Kama wewe kweli ni Rais wa wanyonge, ungevitoa Vitambulisho hivi bure kwa wanyonge ili uwasaidie waweze kupata mikopo ya biashara kirahisi. Hakika wanyonge wasingekusahau.
Aje na hizo hoja kwenye mdahalo tumnyooshe!Magufuli anapenda kuhutubia mikutano ya hadhara ambako hakuna atakaemuuliza swali. Anaongea yeye na kuimbiwa mapambio muda ukiisha anaondoka.
Magufuli anapenda kuhutubia mikutano ya hadhara ambako hakuna atakaemuuliza swali. Anaongea yeye na kuimbiwa mapambio muda ukiisha anaondoka.
Haya maneno matamu wakati wa kampeni halafu baadaye wanaota mapembe na mkia na kuanza kutufokea kwamba hamna hela ya bureKwanza hakuna Benk inayokopesha fedha kwa dhamana ya kitambulisho tu. kuna vitu vingi vinasababisha kupata mkopo ikiwemo biashara na vitu vingine ambavyo vinaweza kukava mkopo wako ikiwa hukuweza kulipa fedha za Bank.
We bwege unajua nini? Unajua hata ujasiriamali?Kijana muongo sana wewe!! Na ukiendelea hivi huko uzeeni utakuwa ni mtu mwenye kuona donge tu kwa watu waliofanikiwa. Hapa ulipaswa kuleta takwimu za watu wangapi wamekopeshwa na benki zipi kupitia vikundi. Useme collateral ya hivo vikundi ni nini. Haya hilo tufanye uko sahihi. Je bima ya afya nayo inahitaji kikundi? Mbona mambo haya hayakusemwa wakati vilitolewa na sasa vinasema sio muhimu na siku chache baadae tunaambiwa faida zake?? Shilingi elfu 20 imlipie bima ya afya mtu kwa mwaka - kweli??? Ona aibu!!
Mimi sio chadema wala sina mrengo wa kisiasa. I try to make sense of things I hear and this is one big lie!!
Benki zenyewe kazifilisi hazina pesa ya kukopesha ,wanadanganya wateja eti mtandao unasumbua.CRDB ndo imekwisha kabisa ,wanakwambia ujaze fomu ya mkopo kisha unalipa 12,000 ya stamp na muhuri wa Wakili baada ya hapo wanaanza longolongo.Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe. Theni ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?
Sisi tunakopa na tunajua maendeleo hayana vyama. Tunatumia vitambulisho vya wajasiriamali kuunda vikundiKijana muongo sana wewe!! Na ukiendelea hivi huko uzeeni utakuwa ni mtu mwenye kuona donge tu kwa watu waliofanikiwa. Hapa ulipaswa kuleta takwimu za watu wangapi wamekopeshwa na benki zipi kupitia vikundi. Useme collateral ya hivo vikundi ni nini. Haya hilo tufanye uko sahihi. Je bima ya afya nayo inahitaji kikundi? Mbona mambo haya hayakusemwa wakati vilitolewa na sasa vinasema sio muhimu na siku chache baadae tunaambiwa faida zake?? Shilingi elfu 20 imlipie bima ya afya mtu kwa mwaka - kweli??? Ona aibu!!
Mimi sio chadema wala sina mrengo wa kisiasa. I try to make sense of things I hear and this is one big lie!!
Wewe sio mjasiriamali unalalamika nini? Sisi tuko Chadema lakini ni wajasiriamali na vinatusaidia kupata mikopo."Vitambulisho vya Ujasiriamali vina faida, unaweza hata kukopa kwenye Mabenki kwa kutumia vitambulisho hivi, maeneo kama Kigamboni wameweza kupangiwa kukopeshwa, vinatumika hadi kwenye Bima za Afya, mkituchagua vitaendelea ili kulinda maslahi ya wanyonge"-JPM
Kama wewe kweli ni Rais wa wanyonge, ungevitoa Vitambulisho hivi bure kwa wanyonge ili uwasaidie waweze kupata mikopo ya biashara kirahisi. Hakika wanyonge wasingekusahau.