Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vinatumika kuunda vikundi vya wajasiriamali na wanachukua mikopo kama vikundi. Hivi vinakuwa kama uthibitisho kuwa wana kikundi ni wajasiriamali. Tatizo Chadema ni kupinga pinga tu. Hii haitusaidii
Bila shaka hivyo vitakuwa vikundi vya mafundi Maiko!Vinatumika kuunda vikundi vya wajasiriamali na wanachukua mikopo kama vikundi. Hivi vinakuwa kama uthibitisho kuwa wana kikundi ni wajasiriamali. Tatizo Chadema ni kupinga pinga tu. Hii haitusaidii
Kwa hiyo unapinga wajasiriamali hawakopi kwa kutumia vikundi wanavyounda?Kuna Watu wana Vitambulisho vya kila namna na hawana Sifa ya kukopesheka ,usione Watu kama mazuzu.
Hiyo benki itakayotoa mikopo kwa kutumia vitambulisho vya umachinga ni ya fundi Maiko."Vitambulisho vya Ujasiriamali vina faida, unaweza hata kukopa kwenye Mabenki kwa kutumia vitambulisho hivi, maeneo kama Kigamboni wameweza kupangiwa kukopeshwa, vinatumika hadi kwenye Bima za Afya, mkituchagua vitaendelea ili kulinda maslahi ya wanyonge"-JPM
Kama wewe kweli ni Rais wa wanyonge, ungevitoa vitambulisho hivi bure kwa wanyonge ili uwasaidie waweze kupata mikopo ya biashara kirahisi. Hakika wanyonge wasingekusahau.
Hujui maisha wewe mtoto wa mama. Mnaunda kikundi cha watu watano mnaofahamiana ili iwe rahisi kupatikana. Na benki inawakopesha.Bila shaka hivyo vitakuwa vikundi vya mafundi Maiko!
Kwa hiyo unapinga wajasiriamali hawakopi kwa kutumia vikundi wanavyounda?
Dhamana ndio hicho kikundi,na lazima mthibitishe kama ni wajasiriamali. Na ni mikopo ya pesa ambazo sio uweke bond ya nyumba. Tumia akili wewe.Hapa tuna zungumzia Vitambulisho ,Bank wana hitaji Dhamana na sio blah blah au unafikiri pana mmbadala wa Pesa zaidi kuweka bondi Mali !?
Vinatumika kuunda vikundi vya wajasiriamali na wanachukua mikopo kama vikundi. Hivi vinakuwa kama uthibitisho kuwa wana kikundi ni wajasiriamali. Tatizo Chadema ni kupinga pinga tu. Hii haitusaidii
Yani hawana aibu hata chembe ,wamekuwa waongo mpaka wamepitilizaAcheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe. Theni ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa na wenda wazimu wa Lumumba? Mbona mnatuona Watanzania kama wajinga fulani aisee?
Kuna Benki inayoweza kukopesha kwa kitambulisho kisichokuwa na jina lako , picha yako na saini ? Inawezekana wanasiasa wamezoea kutudanganya lakini not to that extent, they should watch it !
Unamaana vikoba ni benki, na bima ipo ya vicoba? Acha ushamba ukadhani wote washamba humu ebo?Vinatumika kuunda vikundi vya wajasiriamali na wanachukua mikopo kama vikundi. Hivi vinakuwa kama uthibitisho kuwa wana kikundi ni wajasiriamali. Tatizo Chadema ni kupinga pinga tu. Hii haitusaidii
Hujui maisha wewe mtoto wa mama. Mnaunda kikundi cha watu watano mnaofahamiana ili iwe rahisi kupatikana. Na benki inawakopesha.
Kwa hiyo unapinga wajasiriamali hawakopi kwa kutumia vikundi wanavyounda?