Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CCM aelezea faida za Kitambulisho cha Mjasiriamali

Kawaulize wanufaika wa mikopo wanakigamboni. Halafu ukishapata majibu ujifunze kuongea vitu unavyovijua sio kuongea ongea tuu
wewe ndo unatetea nimekuambia lete ushahidi siyo unaandika uharo humu ,unatetea kitu we mwenyewe huna uhakika msione watu wajinga kama nye,mmekuwa misukule kila kitu unatetea yaani mmekuwa vilaza grade I
 
Alisemaga alivyoingia madarakani Sukari aliikuta ikiuzwa Kilo 1= Tsh. 5000,tangu pale nikawa namuona ni mtu wa saundi.
 
wewe ndo unatetea nimekuambia lete ushahidi siyo unaandika uharo humu ,unatetea kitu we mwenyewe huna uhakika msione watu wajinga kama nye,mmekuwa misukule kila kitu unatetea yaani mmekuwa vilaza grade I
Upunguze jazba usije kufa bure
 
wewe ndo unatetea nimekuambia lete ushahidi siyo unaandika uharo humu ,unatetea kitu we mwenyewe huna uhakika msione watu wajinga kama nye,mmekuwa misukule kila kitu unatetea yaani mmekuwa vilaza grade I
Bado nasubiri anitajie jina la bank.
 
Huyu sasa anawadanganya watuu wazi wazi. Eti vinaweza kutumika kukopa kwenye Mabenki hadi kwenye Bima za Afya? Vitambulisho hivyo vinauzwa kama njugu, huwezi kumtambua (ku track mwenye kitambulisho hicho kama ni chake au kaazima.
Watu wana vitambulisho halali vyaTaifa, kadi ya mpiga kura na hata kadi ya bima ya afya, lakini bado haviwasaidii, leo vya wamachinga vitasaidia kweli,
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…