Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Katika hali ya kushangaza na kusuasua kwa kampeni za CCM bara na visiwani , Jana mgombea wa urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi hakutokea kwenye mkutano wa hadharani Bububu, watu wanaulizana kulikoni?
View attachment 1582306
Sasa mkuu huyu ndugu atapitia wapi ? Watu walimwachia na msikiti?Tangu zifunguliwe kampeni mgombewa wa urais wa Zanzibar kafanya mikutano 3 kafanya kibanda maiti wakiwemo watu kuletwa kutoka bara kwa meli za bakharesa wengine wafanya kazi na wanafunzi kuvalishwa sare mkutano mengine Pemba ambapo vikosi vyote vya polis na jku wagambo walivishwa sare za chama na kupokea wageni kutoka bara na unguja wakiwemo wasanii tele na mwengine nungwi wakapelekwa watoto wa shule mwisho watu wakapata ajali
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Sasa zanziba gani unaongelea?Sijui CCM Bara mwaka huu watakuja na santuri ipi kuiokoa Zanzibar baada ya ile hat-trick ya 2015?
Yako ina shida 5000 times.Sasa zanziba gani unaongelea?
Hali ya maalim sio nzuri kisha mnajifariji
Akiri zennu ni shida.
Si mtoto wa Shehe huyo?GIA ZILIGOMA, ALIENDA KWA SANGOMA KUTENGENEZWA.
Mgangaa ajigangi, Ikigoma imegoma tubwashee.Si mtoto wa Shehe huyo?