Zanzibar 2020 Mgombea Urais Wa CCM Zanzibar Hussein Mwinyi Ashindwa Kutokea Kwenye Kampeni Bububu

Zanzibar 2020 Mgombea Urais Wa CCM Zanzibar Hussein Mwinyi Ashindwa Kutokea Kwenye Kampeni Bububu

Alikuwa Dodoma kwenye kikao cha Wakurugenzi pamoja na Magufuli kupanga mipango ya kupora kura za Wananchi maana hawana namna nyingine ya kubaki madarakani.
 
Wana jadili plan B maana A washa fail

SUBIRI KIDOGO
 
Mgombea was CCM Zanzibar baada ya kuona hapati watu kwenye mikutano yake amejidai eti anafanya kampeni za nyumba kwa nyumba kumbe anakwepa aibu ya kukosa watu kwenye mikutano yake . Ila Wazanzibar Mungu atawalipa kwa hiki mlichofanya hamna unafiki kabisa nyeupe mnaita nyeupe , nyeusi nyeusi .
Hivi huko Akina Zuchu hawafiki?.
 
Nachekaaa! Kwa raha zangu siyo kwa misikule ninayo ijua Mimi, Tanzania sijui Zanzibar bado Sana kuiangusha CCM huwezi kushindana kwenda kanani nchi ya ahadi wakati wengine wengi bado wanahitaji kubaki Misiri, hata Mimi nikigombea CCM bila hata kampeni nashinda.
 
Sijui CCM Bara mwaka huu watakuja na santuri ipi kuiokoa Zanzibar baada ya ile hat-trick ya 2015?
Na wenyewe wapo bize na kibano chao. Mshika mbili moja.......Mtaka yote kwa pupa.......Wachague kusuka au kunyoa.
 
Yaani Zanzibar Hussein Mwinyi maji ya shingo labda mbinu yenu ya kila mwaka Jechaism na mwaka huu itafeli .
Screenshot_20200918-020320.png
IMG_20200921_164455.jpg
 
Back
Top Bottom