Zanzibar 2020 Mgombea Urais Wa CCM Zanzibar Hussein Mwinyi Ashindwa Kutokea Kwenye Kampeni Bububu

Alikuwa Dodoma kwenye kikao cha Wakurugenzi pamoja na Magufuli kupanga mipango ya kupora kura za Wananchi maana hawana namna nyingine ya kubaki madarakani.
 
Wana jadili plan B maana A washa fail

SUBIRI KIDOGO
 
Hivi huko Akina Zuchu hawafiki?.
 
Nachekaaa! Kwa raha zangu siyo kwa misikule ninayo ijua Mimi, Tanzania sijui Zanzibar bado Sana kuiangusha CCM huwezi kushindana kwenda kanani nchi ya ahadi wakati wengine wengi bado wanahitaji kubaki Misiri, hata Mimi nikigombea CCM bila hata kampeni nashinda.
 
Sijui CCM Bara mwaka huu watakuja na santuri ipi kuiokoa Zanzibar baada ya ile hat-trick ya 2015?
Na wenyewe wapo bize na kibano chao. Mshika mbili moja.......Mtaka yote kwa pupa.......Wachague kusuka au kunyoa.
 
Yaani Zanzibar Hussein Mwinyi maji ya shingo labda mbinu yenu ya kila mwaka Jechaism na mwaka huu itafeli .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…