900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
anasubiri huku bara kuna nati imekazwa sana na spana za Lisu mzee jiwe anahangaika nayo kuilegeza pale dodoma,kesho watajikongojaKatika hali ya kushangaza na kusuasua kwa kampeni za CCM bara na visiwani , Jana mgombea wa urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi hakutokea kwenye mkutano wa hadharani Bububu, watu wanaulizana kulikoni?
View attachment 1582306
Akiri zennu ni shida.
Ndo madhara ya kuweekeza kwenye dola badala ya ummaMwaka huu CCM bara na visiwani kotekote maji ya shingo .
Katika hali ya kushangaza na kusuasua kwa kampeni za CCM bara na visiwani , Jana mgombea wa urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi hakutokea kwenye mkutano wa hadharani Bububu, watu wanaulizana kulikoni?
View attachment 1582306
Si mtoto wa Shehe huyo?
Imebidi tu nicheke ccm ni wanaharamu sana wanaweza wakalipua kisiwa tukose woteSijui CCM Bara mwaka huu watakuja na santuri ipi kuiokoa Zanzibar baada ya ile hat-trick ya 2015?
Kwema chief?Imebidi tu nicheke ccm ni wanaharamu sana wanaweza wakalipua kisiwa tukose wote
Wamesema staff wa Serikali (polisi, vyombo vingine vya ulinzi etc) watapiga kura siku moja kabla eti ili kesho yake wawe busy kusimamia zoezi.Imebidi tu nicheke ccm ni wanaharamu sana wanaweza wakalipua kisiwa tukose wote
Salama Chief, MSKwema chief?
Endelea tu kujifariji, ila usije lalamika baada ya tarehe 28/10/2020/
Mwaka huu CCM bara na visiwani kotekote maji ya shingo .
Nikufuta uchaguzi tu,mtoto mdogo mno huyo kwa Maalim Seif.Sijui CCM Bara mwaka huu watakuja na santuri ipi kuiokoa Zanzibar baada ya ile hat-trick ya 2015?
Hauko mbali na ukweli,angalau Tanganyika huku angewa balansia mambo japo..Kwahiyo CCM Tanganyika wamemwingiza chaka .
Mwinyi hana aiba ya uongozi, amezoea kubebbwa kwa hehma ya baba yake, lakini hata kuongoza familia ni ngumu, kampeni zake ni kama za kugombea uenyekiti wa mtaa, he is too low.Katika hali ya kushangaza na kusuasua kwa kampeni za CCM bara na visiwani , Jana mgombea wa urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi hakutokea kwenye mkutano wa hadharani Bububu, watu wanaulizana kulikoni?
View attachment 1582306
Hivi ..Moja/Disemba...huadhimishwa huko?Hakuna shekhe hata mmoja anaetangazaa kondom ktk maulidi ya kumswalia mtume
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Akili sio akiri! Akili sio akiri! Akili sio akiri!!!!!!!!!!Sasa zanziba gani unaongelea?
Hali ya maalim sio nzuri kisha mnajifariji
Akiri zennu ni shida.
We ulisikia wap?????????Mwaka huu CCM bara na visiwani kotekote maji ya shingo .