Ni bora huyu anaegemea kijinguzo na ana uwezo wa kufanya mdahalo na huyo Balozi kuliko yule aliyeko gereji mwenye Phd ya kupandikizwa isiyoleta matokeo.Lissu alivyosimama mbonakama kunakijinguzo kwanyuma kaegamia!?
Utafukiri kazaliwa kwa malkia,Kwani LISSU anajua kuongea kidhungu?