Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

Mgombea anafanya kazi nzuri na ya kupongezwa, uchaguzi unatakiwa kuwa huru na wa haki akishinda, katiba ibadilishwe haraka ili uchaguzi ujao wagombea wote wawe katika level sawa.

Siyo eti mmoja anagombea akiitwa Rais na amiri jeshi wa majeshi yote akitumia rasilimali zote za umma na mwingine ni mgombea tu huku akikabiliwa na vikwazo kibao vya kufanya kampeni. Huo ni uhuni😎
 
TENA WATOE TAMKO JUU YA MIKUTANO YA LISU KWENYE MISURURU YA WATU HATA LISU MWENYEWE HAVAI BARAKOA, HUKU KORONA IKIWA NIJANGA. NAMUOMBA BAROZI HUYO AMUONYE HUYO LISU KUFANYA MIKUTANO YENYE MIKUSANYIKO YA WATU KWA KIPINDI HIKI CHA KORONA.
Hiyo sio mada ya leo
 
Unaposema Tamko juu ya Mikutano! Misururu. Yule mwingine yeye anamisururu ya panya au! Korona si alishasema hakuna wewe unaitoa wapi?!
 
Embu muulize aliyempiga risasi atakuwa ana majibu mazuri?
Aliyempiga risasi za ndege tutampata wapi ili aulizwe na nyie mmemfika sijui Ubelgiji sijui wapi, mnajua wenyewe! Mleteni tumuhoji!
 
Back
Top Bottom