Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright.

Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameonyesha kufurahishwa kukutana na Mwanasheria huyo nguli.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Donald J. Wright ameandika "It was wonderful to finally meet Tundu Lissu today. While the U.S. does not support any candidate or party in the upcoming election, we fully support a free, fair, and transparent process where all parties are afforded equal treatment".

View attachment 1593154
View attachment 1593156
Sasa mapambazuko yamekaribia Sana..............
 
Unaposema Tamko juu ya Mikutano! Misururu. Yule mwingine yeye anamisururu ya panya au! Korona si alishasema hakuna wewe unaitoa wapi?!
Msimamo wa Lisu korona bado ipo kwakuwa akili yake imeshikiliwa na wazungu
 
Kwani LISSU anajua kuongea kidhungu?
Hayupo fluent kihivyo, ila anaweza kueleweka kwa wenye lugha yao. Wabongo wengi ambao wapo vizuri kwenye kutema yai ni either wameishi au kusoma kwenye nchi za malkia au wana high intelligence kuweza kumudu kutumia kimalkia ndani ya muda mfupi na kwa lafudhi inayoeleweka na wenye lugha yao.
 
Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright.

Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameonyesha kufurahishwa kukutana na Mwanasheria huyo nguli.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Donald J. Wright ameandika "It was wonderful to finally meet Tundu Lissu today. While the U.S. does not support any candidate or party in the upcoming election, we fully support a free, fair, and transparent process where all parties are afforded equal treatment".

View attachment 1593154
View attachment 1593156
Walikutana baada ya Lisu kumaliza kuzurura mjini au kabla ya hapo ?

Nakumbuka paulo makonda alikuwa na program za kukamata wanaotembea mjini bila shughuli maalumu kwenye kile kipindi cha corona

Hatujakaa Makonda acheni ujinga wa kukaa ndani, mtakufa na njaaa.
 
Natumaini Tundu Lisu atakuwa kati ya mgombea pekee ambaye Balozi hata pata taabu kumuelewa maana wengine lugha ya malikia ni tatizo is na the zitakuwa nyingi sana
People uzid to die in ze rake
 
Walivyo na furaha inaonyesha wamezungumza mambo ya msingi sana na hasa ishu hiyo ya uchaguzi.

Ni zamu ya yule mwingine, je ataweza kweli kuzungumza hoja za maana bila mkalimani?

Kaangalie Kizungu alichoongea kumpokea Chakwera 😂😂

I am trying to preach but I cant reach you

Chuma nakubaliana nae kwa mambo mengi ila yai limempitia kushoto kwakweli
 
Yaani hizi picha zinafurahisha sana. Jembe Magufuli kasafisha njia. Tanzania hatuna corona.

Cheki wanavyo tabasamu no mask no unnecessary distance
Wameshaamini kwamba Magufuli kawazidi wazungu wote kuhusu ishu ya korona
 
Back
Top Bottom