Unajifanya hujui mgombea wenu alichomfanyia.Hivi Lissu kwanini anapenda kusimama upandeupande?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajifanya hujui mgombea wenu alichomfanyia.Hivi Lissu kwanini anapenda kusimama upandeupande?
Huwezi kutambua ukuu wa Mungu wakati kwenye utawala wako watu wanatekwa, wengine hawajulikani walipo na wengine ni majeruhi na wengine mnawadhulumu mali zao. Acheni kumsanifu Mungu.Marekani wanaijua Tanzania na wanaelewa wanachotakiwa kukifanya bila kuwakosea Watanzania. Mpaka saizi wameamini akili ya JPM ina dira nzuri yenye kuutambua ukuu wa Mungu.
Wanatambua ili waendelee kuishi ni lazima kumheshimu aliyemtanguliza Mungu kuwalinda watoa huduma za Afya, Maaskari wa Mipakani, Vyombo vya dola, Wataalam mbalimbali na kutushindisha katika vita mbaya/Kali ya Kupambana na Covid-19.
NB: Two way traffic ndiyo maisha ya Dunia. Hakuna aliyewahi kujitosheleza.
Kwa Imani yako, Mshukuru Mungu kwa kuwa ni mmoja ya Watu Wachache waliofanikiwa kuishi katika utawala safi wa awamu ya 5
Ung'eng'e umevunjika vunjika vibaya sana kiasi cha kutia aibu...!nasikia jana JPM katema ung'eng'e wa kufa mtu...ni kweli kada??.
"’†....Your Excellency I am trying to preach but I can't reach you...!!Tutaingia na hoja ya kukikuza na kukitukuza kiswahili
Anamuopa beberu eti?Sasa yule Jamaa wa Pipo yuzid tudai ini da Leki ataweza kweli ki inglish. Apumzike tuu huko Chato safari hii hatuna utani thubutu yake ajaribu kuiba kura aone.
Kama ni hivyo kwanini elimu yetu inafundishwa kiingeraza ? cha nini ikiwa tunataka kutumia lugha yetu kuwasiliana na watu wengine
Ha ha ha amekatwa center bolt huyo. Mabeberu sio watu wazuri aisee.
Hizo Flyover na Bombadier zenu hazijawahi kuwanunulia Watz hata nusu mkate....!!kingereza chenu cha law hakijwah hata kunijengea km 1 ya lami.
Ila nyie mlivyomgarimu yule mama kwa kumpelekea taarifa feki za korona hadi akafungashiwa viragoo, hiiii kiki yenu umeisahauu??Balozi hana muda mchafu wa kufuatilia taarabu zenu za TOT
KabisaaaLissu anafaa sana. Man of people