Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

Marekani wanaijua Tanzania na wanaelewa wanachotakiwa kukifanya bila kuwakosea Watanzania. Mpaka saizi wameamini akili ya JPM ina dira nzuri yenye kuutambua ukuu wa Mungu.
Wanatambua ili waendelee kuishi ni lazima kumheshimu aliyemtanguliza Mungu kuwalinda watoa huduma za Afya, Maaskari wa Mipakani, Vyombo vya dola, Wataalam mbalimbali na kutushindisha katika vita mbaya/Kali ya Kupambana na Covid-19.
NB: Two way traffic ndiyo maisha ya Dunia. Hakuna aliyewahi kujitosheleza.
Kwa Imani yako, Mshukuru Mungu kwa kuwa ni mmoja ya Watu Wachache waliofanikiwa kuishi katika utawala safi wa awamu ya 5
Huwezi kutambua ukuu wa Mungu wakati kwenye utawala wako watu wanatekwa, wengine hawajulikani walipo na wengine ni majeruhi na wengine mnawadhulumu mali zao. Acheni kumsanifu Mungu.
 
nasikia jana JPM katema ung'eng'e wa kufa mtu...ni kweli kada??.
Ung'eng'e umevunjika vunjika vibaya sana kiasi cha kutia aibu...!
Sijui Nani alimshauri atumie English mbele ya hadhira ile!!

Tutaingia na hoja ya kukikuza na kukitukuza kiswahili
"’†....Your Excellency I am trying to preach but I can't reach you...!!
John Pombe Magufuli.
 
Sasa yule Jamaa wa Pipo yuzid tudai ini da Leki ataweza kweli ki inglish. Apumzike tuu huko Chato safari hii hatuna utani thubutu yake ajaribu kuiba kura aone.
Anamuopa beberu eti?
 
Kama ni hivyo kwanini elimu yetu inafundishwa kiingeraza ? cha nini ikiwa tunataka kutumia lugha yetu kuwasiliana na watu wengine

".....Lazima Watanzania wajifunze Kiingereza ili kurahisisha Mawasiliano na nji zingine maana KIINGEREZA ndiyo Kiswahili Cha Dunia.
Mwl. J.K. Nyerere(Rais wa Kwanza-JMT)
 
kingereza chenu cha law hakijwah hata kunijengea km 1 ya lami.
 
Back
Top Bottom