Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

Walivyo na furaha inaonyesha wamezungumza mambo ya msingi sana na hasa ishu hiyo ya uchaguzi.

Ni zamu ya yule mwingine, je ataweza kweli kuzungumza hoja za maana bila mkalimani?
sio kufurahi kwasababu yakuongea mambo mengi tuu but mazungumzo yanakuwa mataamu kama rugha unaichalaza fresh sio mtu kidhungu chako kibovu kama "NO Father ,NO Mother ,NO Brother,No Sister kwingine cant reach him"
 
View attachment 1593154

Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright. Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameonyesha kufurahishwa kukutana na Mwanasheria huyo nguli.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Donald J. Wright ameandika "It was wonderful to finally meet Tundu Lissu today. While the U.S. does not support any candidate or party in the upcoming election, we fully support a free, fair, and transparent process where all parties are afforded equal treatment".

View attachment 1593156
Bwana yule atanuna vibaya, sasa ngoma naye akipewa nafasi ya kuongea na huyo balozi
 
Walivyo na furaha inaonyesha wamezungumza mambo ya msingi sana na hasa ishu hiyo ya uchaguzi.

Ni zamu ya yule mwingine, je ataweza kweli kuzungumza hoja za maana bila mkalimani?
Tutaingia na hoja ya kukikuza na kukitukuza kiswahili
 
Natumaini Tundu Lisu atakuwa kati ya mgombea pekee ambaye Balozi hata pata taabu kumuelewa maana wengine lugha ya malikia ni tatizo izzz na zeee zitakuwa nyingi sana
CC:Wakudadavua
CC:kipara kipya
 
Sasa yule Jamaa wa Pipo yuzid tudai ini da Leki ataweza kweli ki inglish. Apumzike tuu huko Chato safari hii hatuna utani thubutu yake ajaribu kuiba kura aone.
Thubuutuuuuuu
 
TENA WATOE TAMKO JUU YA MIKUTANO YA LISU KWENYE MISURURU YA WATU HATA LISU MWENYEWE HAVAI BARAKOA, HUKU KORONA IKIWA NIJANGA. NAMUOMBA BAROZI HUYO AMUONYE HUYO LISU KUFANYA MIKUTANO YENYE MIKUSANYIKO YA WATU KWA KIPINDI HIKI CHA KORONA.
Balozi hana muda mchafu wa kufuatilia taarabu zenu za TOT
 
sio kufurahi kwasababu yakuongea mambo mengi tuu but mazungumzo yanakuwa mataamu kama rugha unaichalaza fresh sio mtu kidhungu chako kibovu kama "NO Father ,NO Mother ,NO Brother,No Sister kwingine cant reach him"

Hivi Jiwe alikuwa ana maana gani aliposema...."Your Excellency I am trying to preach but I can't reach you....!!!Nilicheka Sana🤣🤣
 
Na note book ya points watakazoongelea na walichoongea.
hahahaaaaa.... kwao ni mkutano wa kikazi....

na amekusanya kila kitu Tundu Lissu alichosema na kukituma CIA wafungue faili la personal profile... just in case anakuwa Rais by any chances...
 
View attachment 1593154

Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright. Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameonyesha kufurahishwa kukutana na Mwanasheria huyo nguli.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Donald J. Wright ameandika "It was wonderful to finally meet Tundu Lissu today. While the U.S. does not support any candidate or party in the upcoming election, we fully support a free, fair, and transparent process where all parties are afforded equal treatment".

View attachment 1593156
Tatizo yule wa chama cha kijani LUGHA ni tatizo?
 
Hivi Jiwe alikuwa ana maana gani aliposema...."Your Excellency I am trying to preach but I can't reach you....!!!Nilicheka Sana🤣🤣
direct translation eti hawezi kumfikia Chakwera kwa kuhubiri....mimi naona shule yake amesoma ujanjajanja tuu 😀😀😀😀😀😀😀
 
Walivyo na furaha inaonyesha wamezungumza mambo ya msingi sana na hasa ishu hiyo ya uchaguzi.

Ni zamu ya yule mwingine, je ataweza kweli kuzungumza hoja za maana bila mkalimani?
Kabla ata hajaanza KAZI hapa nchini, Balozi alimfata huyo mwingine alipo kwenda kumuomba Baraka za kufanya KAZI nchini.. nadhani next atakua Gwajima au tarimba kufanya mazungumzo na Balozi manake ubalozi uko katika mojawapo ya Jimbo... Kinondoni or Kawe.
 
Nadh
Tatizo yule wa chama cha kijani LUGHA ni tatizo?
Hivi mabalozi wetu wakienda kujitambulisha nchi za nje wanatumia Kiswahili kujieleza Kwa wakuu wa nchi husika?..kama jibu ni hapana, sioni haja ya kumlazimisha au kuona fahari Kiongozi wa nchi yetu kutumia lugha ya wageni , ni wajibu wa wageni kujifunza lugha ya kuwasiliana na Kiongozi wetu Not the other way around.
 
Kama ni hivyo kwanini elimu yetu inafundishwa kiingeraza ? cha nini ikiwa tunataka kutumia lugha yetu kuwasiliana na watu wengine
 
Back
Top Bottom