Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Hawa jamaa wadhihirishe kama kweli hawana Mgombea wanayempigia chapu kwa kuonana na Wagombea wengine, TADEA, NCCR MAGEUZI, CUF, nk. La sivyo ni janja janja ambayo Watanzania wameishaigundua.
Wewe ndo unaleta janjajanja hapa.
Balozi wa Marekani amewaalika Wagombea wote wa Urais kwenda kuonana naye akiwemo Rais Magufuli! Mbona hata Mbatia wa NCCR Mageuzi Kesha onana na Balozi?
Tatizo kubwa hapa ni LUGHA gongana.Tunajua huko CCM na mamluki wake TADEA, NRA,TLP,CUF,n.k hakuna mwene ujasiri wa kwenda kutema yai mbele ya Balozi wa USA🤣🤣