Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

View attachment 1593154

Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright. Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameonyesha kufurahishwa kukutana na Mwanasheria huyo nguli.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Donald J. Wright ameandika "It was wonderful to finally meet Tundu Lissu today. While the U.S. does not support any candidate or party in the upcoming election, we fully support a free, fair, and transparent process where all parties are afforded equal treatment".

View attachment 1593156
Okay
 
Pigeni keleee mukimaliza niambieni, Lisu hawezi pewa mamlaka ya kutuongoza wa Tanzania, hilo liko wazi hata yeye mwenyewe anajua.
 
Tatizo hapa ni MUDA! Kwa kweli sikuwa na muda wa kufuatilia mwisho wa hiyo SINEMA ya Lissu. Kumbe Polisi walimuacha ili apate muda wa kujitayarisha kwa safari yake ya kumuona Balozi wa US!
Watia huruma weye
 
Pigeni keleee mukimaliza niambieni, Lisu hawezi pewa mamlaka ya kutuongoza wa Tanzania, hilo liko wazi hata yeye mwenyewe anajua.
Tunawaombea mpate nguvu ya kujiandaa ki saikolojia
 
Apewe jimbo Marekani kama wanampenda sana.
Kwa hiyo na Maalim Seif naye apewe jimbo? Mavi-jana ya CCM huwa mnatembea na vichwa ambavyo ni makopo tu hayana ubongo. Mmebakiza vichwa vya kufugia chawa!
 
Hao ndio "wanadiplomasia", by the way Lissu si alisema atalala Kiluvya hata kwa wiki moja!? Ameondoka na kuwaacha solemba wenzake!?
Huna akili mwamba! Kichwa chako ni kopo ambalo halina ubongo. Hakuelewa alichosema Lissu
 
View attachment 1593154

Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright. Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameonyesha kufurahishwa kukutana na Mwanasheria huyo nguli.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Donald J. Wright ameandika "It was wonderful to finally meet Tundu Lissu today. While the U.S. does not support any candidate or party in the upcoming election, we fully support a free, fair, and transparent process where all parties are afforded equal treatment".

View attachment 1593156
 
View attachment 1593154

Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright. Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameonyesha kufurahishwa kukutana na Mwanasheria huyo nguli.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Donald J. Wright ameandika "It was wonderful to finally meet Tundu Lissu today. While the U.S. does not support any candidate or party in the upcoming election, we fully support a free, fair, and transparent process where all parties are afforded equal treatment".

View attachment 1593156
"SERIKALI YACHADEMA ITATUMIA WATAALMU WAKE KUAHAKIKISHA MNAKWENDA KUCHUNGA KWENYE HIFADHI" 😂🤣😂🤣

Tundu Lissu (Mzee Wa Faragha)
 
View attachment 1593154

Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright. Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameonyesha kufurahishwa kukutana na Mwanasheria huyo nguli.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Donald J. Wright ameandika "It was wonderful to finally meet Tundu Lissu today. While the U.S. does not support any candidate or party in the upcoming election, we fully support a free, fair, and transparent process where all parties are afforded equal treatment".

View attachment 1593156
Huyu designer wa shati za Lissu, namvulia kofia!
 
Back
Top Bottom