Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

Hiyo ni kanuni ya wazi kuwa kwenye kushindana kwani kuna mshindi na mshindwa. Cha muhimu anayeshinda ashinde kihalali, na mshindwa ashindwe kihalali fullstop.
Kwa akili yako nani anapata dhuluma ya ushindi?
 
Watanzania ambao wanaishi mijini wanazungumza kiswahili mwanzo mwisho, wengi waliopo vijijini wazungumza kilugha, lakini kwenye mtihani wa kiswahili wapo ambao wanazungunza kiswahili muda wote lakini wanaishia kupata F na wapo ambao wanaongea kilugha huko vijijini hadi kwenye majadiliano darasani lakini wanapata A. Nadhani nimekujibu
Hujajibu
 
Walivyo na furaha inaonyesha wamezungumza mambo ya msingi sana na hasa ishu hiyo ya uchaguzi.

Ni zamu ya yule mwingine, je ataweza kweli kuzungumza hoja za maana bila mkalimani?

[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hao ndio "wanadiplomasia", by the way Lissu si alisema atalala Kiluvya hata kwa wiki moja!? Ameondoka na kuwaacha solemba wenzake!?
Polisi walisalimu amri wakaondoka na lisu akaenda na kuendesha kikao Cha ndani
Karudi leo
 
....Ambassador aseme tu kwamba all parties are NOT BEING afforded equal treatment.
 
Watumishi wote kura ni kwa lissu.Mmeteseka sana miaka 5 bila kupata stahiki zenu.
 
Tunu taifa Lipi amekuwa yeye Na Chadema wakipinga marekani isiuze ndege zake Tanzania ili kampuni ya Boeing inayouza ndege za Boeing na Bombardier ikose soko kiwanda kifungwe na wafanyakazi waachishwe kazi na serikali ya Marekani ikose soko na wanahisa wa Boeing wa Ulaya na Marekani hisa zao zianguke sababu soko likuwepo hisa hupanda upinzani umekuwa ukipinga hadi akina Zitto Kabwe kusema Boeing imeleta ndege mitumba Dk Magufuli kawapa soko la Ndege zao Boeing hivi kwa akili ya kawaida kati ya Lisu na Dk Magufuli unadhani Marekani watamheshimu nani mwongea kiingereza na mpinga biashara zao au asiyejua kiingereza anayewapa biashara
Pole sana ukipata hoja ndio urudi.
 
Hayo maneno we dont support any party, ni sindano kwa lissu. Alidhani atapewa support...bila shaka kaenda lia lia huko jamaaa kampa za uso hatusapoti yeyote...
Labda yule anaezunguka na kiyoyozi ndio atasikiliza porojo hizo
 
Sawa tutakuwa na Rais anaegemea kinguzo.
Kisa ni nini? Ni kutofautiana kimtazamo wa kisiasa mpaka una kashifu maumbile ya mwenzako? Na baada ya hapo unaenda kanisani au msikitini kumuomba Mungu!

Nimekutana na watu tofauti ambao hawampendi Lissu lakini sijawahi kuona wakitoa maneno kama ya kwako! Una mtizamo wa ajabu sana! Kumbuka
hatujafa hatuja umbika.

Unafanya makosa makubwa sana! Pengine huyo unayemkashifu kwa maumbile yake Mungu ndipo amekupa majaribio ya kupima hekima yako.

Ikiwa kama umeyachuma madhambi basi ni ya kwako wala si ya Magu! Ikiwa ni thawabu basi ni ya kwako si ya Magu. Una lose hekima yako kwa sababu ya Magu. Lakini Magu hana madhambi hapo isipokuwa madhambi ni ya kwako.
 
Pole sana ukipata hoja ndio urudi.
Lisu na Chadema ķupinga ununuzi wa ndege hawakujua wanampinga nani walidhani wanampinga Magufuli sababu akili hawana wasomi walishawakimbia akina Professor Baregu nk wamebaki wababaishaji akina lisu kumbe kupinga ununuzi wa ndege unaipiga vita marekani isiuze ndege zake za Boeing na Bombardier ikose soko la bidhaa zake na Boeing shareholders wengi wako Ulaya na Marekani hivyo ukipiga vita ndege Tanzania isinunue ni sawa na kuiwekea vikwazo Marekani isiuze bidhaa zake Tanzania
 
Watanzania ambao wanaishi mijini wanazungumza kiswahili mwanzo mwisho, wengi waliopo vijijini wazungumza kilugha, lakini kwenye mtihani wa kiswahili wapo ambao wanazungunza kiswahili muda wote lakini wanaishia kupata F na wapo ambao wanaongea kilugha huko vijijini hadi kwenye majadiliano darasani lakini wanapata A. Nadhani nimekujibu
Off-point. Kakojoe ulale.
 
Pole sana ukipata hoja ndio urudi.
Wamarekani wako after business mliwapiga Vita sana na kwenye kampeni zenu Chadema na Lisu kutwa mnaponda ununuzi wa ndege mkiupiga vita mnachofanya ni kuipiga vita marekani isiuze ndege zake kwa Tanzania mnataka ziwadodee mlivyo wanafiki eti mnaenda kumuona balozi wa marekani na kingereza kingi ati awasaidie !!

Mbona nyie hamtaki serikali inunue ndege zao? Kila mkisimama mikutano ya kampeni in kuponda ununuzi wa ndege za mmarekani

Anyway mmarekani ukizuia asiuze vitu vyake utapata jibu .Upinzani safari hii ujiandae
 
Hayupo fluent kihivyo, ila anaweza kueleweka kwa wenye lugha yao. Wabongo wengi ambao wapo vizuri kwenye kutema yai ni either wameishi au kusoma kwenye nchi za malkia au wana high intelligence kuweza kumudu kutumia kimalkia ndani ya muda mfupi na kwa lafudhi inayoeleweka na wenye lugha yao.
Mukaruka mzee mwaka huu hutakuwa na haja ya chanuo
Nyi mbona mnaongozwa na mhutu kutoka Burundi na katibu mkuu wenu kutoka Rwanda
Maneno ya MKOSA HOJA! Dawa ni KUYAPUUZA tu.
 
Ungefuatilia yalivyoisha ingekusaidia sana
Tatizo hapa ni MUDA! Kwa kweli sikuwa na muda wa kufuatilia mwisho wa hiyo SINEMA ya Lissu. Kumbe Polisi walimuacha ili apate muda wa kujitayarisha kwa safari yake ya kumuona Balozi wa US!
 
Back
Top Bottom