Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

Boeing hawana shida ya soko la ndege zao wala Tanzania siyo soko lao muhimu ikumbukwe kuwa wanatangeneza pia ndege za kisasa za kijeshi zenye bei kubwa.
Uongo upinzani Tanzania una cha kujieleza kwa wamarekani akiwemo Tundu Lisu na Chadema wapinzani namba moja wa ununuzi wa ndege toka kampuni ya Boeing ya wamarekani
 
Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright. Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameonyesha kufurahishwa kukutana na Mwanasheria huyo nguli.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Donald J. Wright ameandika "It was wonderful to finally meet Tundu Lissu today. While the U.S. does not support any candidate or party in the upcoming election, we fully support a free, fair, and transparent process where all parties are afforded equal treatment".

View attachment 1593154
View attachment 1593156
Lissu kila analolifanya lipo very Calculated. Ni mpinzani ambaye anajua ku provoke na yupo smart kwenye masuala ya Sheria na Kanuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu na chadema wanafiki wanahitaji USA wawasaidie wakati wao hawakusaidia ndege za wamarekani za kampuni ya Boeing ziuzwe Tanzania wanapiga vita hadi leo mikutano yao ya kampeni Sheria ya kusaidiana inatamka sctratch my back I scratch yours
 
Boeing hawana shida ya soko la ndege zao wala Tanzania siyo soko lao muhimu ikumbukwe kuwa wanatangeneza pia ndege za kisasa za kijeshi zenye bei kubwa.
Kwa mfanyabiashara hata tairi la Boeing lina muhimu kiswahili tunasema usidharau shilingi mia mbili kisa umepata elfu moja noti
 
Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright. Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameonyesha kufurahishwa kukutana na Mwanasheria huyo nguli.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Donald J. Wright ameandika "It was wonderful to finally meet Tundu Lissu today. While the U.S. does not support any candidate or party in the upcoming election, we fully support a free, fair, and transparent process where all parties are afforded equal treatment".

View attachment 1593154
View attachment 1593156
Hayo maneno we dont support any party, ni sindano kwa lissu. Alidhani atapewa support...bila shaka kaenda lia lia huko jamaaa kampa za uso hatusapoti yeyote...
 
Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright. Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameonyesha kufurahishwa kukutana na Mwanasheria huyo nguli.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Donald J. Wright ameandika "It was wonderful to finally meet Tundu Lissu today. While the U.S. does not support any candidate or party in the upcoming election, we fully support a free, fair, and transparent process where all parties are afforded equal treatment".

View attachment 1593154
View attachment 1593156

Angekuwa wa kwanza kuonana na Huyu balozi ingekuwa hapatoshi ....:.......
 
Aliyempiga risasi za ndege tutampata wapi ili aulizwe na nyie mmemfika sijui Ubelgiji sijui wapi, mnajua wenyewe! Mleteni tumuhoji!
Kwani mliisha maliza kuwahoji walinzi wa pale, na yule aliyeandaa barua ya pole mwezi mmoja kabla
 
Back
Top Bottom