Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

Najua Kuna umuhimu wa kujua Lugha mbali mbali.
Lakini mazee mmeng'ang'ania Magu kujua English na Kuiongea fluently.kana kwamba akisha fanya hivyo ndio shida zoote za Tz zitaisha.

Ngeli sio issue Sana bwana. After all ukishaingia kwa office kubwa Kama lile jumba jeupe wakalimani wapo.kwa Lugha yeyote sio ngeli tu.

Magu we Gonga kiswahili tu. Ata ukiamua kuongea ngeli usipopiga Kama Cha St. Kuna Ia Muhimu Ni kuelewana tu.
Ndio lengo la Mawasiliano. Sio utaalamu wa Lugha.
 
Mtukufu magufuli hata Kiswahili chake ni kibovvu, hajui lugha zote mbili labda aongee kisukuma ingekuwa ni raia wa Burundi
 
Jiwe ana PhD ya korosho na alisoma kwa lugha ya malkia ila haijui lugha yenyewe japo alifundisha pia kwa kingereza. Aibu iliyoje
Sanane alihoji phd ya mtukufu akapotezwa na kikundi cha Bashite
 
Hapa Lissu katuthibitishia wazi kuwa yeye ni kibaraka wa mabeberu. Akipata uraisi nchi yetu itakuwa chini ya maamuzi ya hao mabeberu. Nchi yetu haitakuwa sovereign state tena. Haijawahi kutokea mgombea urais wa nchi anaenda kuomba support ya kifedha na kisiasa kwa balozi wa nchi nyingine ili awezeshwe kuupata urais. Amerika ilipohisia tu kwamba Trump alipata msaada kutoka Urusi na Uchina katika uchaguzi mkuu wan2016 uliomuingiza madarakani: sekeseke lililotokea tulilishuhudia na hadi sasa halijaisha.
 
Natumaini Tundu Lisu atakuwa kati ya mgombea pekee ambaye Balozi hata pata taabu kumuelewa maana wengine lugha ya malikia ni tatizo izzz na zeee zitakuwa nyingi sana
Hiyo lugha ilipeleka maendeleo gani alipokua mbunge huyu Mk***u**ndu?
 
1602186573272.png

Angalia alivyosimama kwa adabu kwa makuwadi wake bila shuruti!
 
Hao ndio "wanadiplomasia", by the way Lissu si alisema atalala Kiluvya hata kwa wiki moja!? Ameondoka na kuwaacha solemba wenzake!?
Alale kivipi wakati polisi wa CCM walivyoondoa kuzuizi akitakiwa kuendelea na Safari ya Mlandizi
 
Mgombea anafanya kazi nzuri na ya kupongezwa, uchaguzi unatakiwa kuwa huru na wa haki akishinda, katiba ibadilishwe haraka ili uchaguzi ujao wagombea wote wawe katika level sawa.

Siyo eti mmoja anagombea akiitwa Rais na amiri jeshi wa majeshi yote akitumia rasilimali zote za umma na mwingine ni mgombea tu huku akikabiliwa na vikwazo kibao vya kufanya kampeni. Huo ni uhuni😎
Hana fair kwani mmoja bado anatumia vyombo vya dola kuwatesa wagombea wengine huku akijiwekea refa wake kwenye Tume ya uchaguzi isiyo hura na haki
 
View attachment 1593154

Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright. Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameonyesha kufurahishwa kukutana na Mwanasheria huyo nguli.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Donald J. Wright ameandika "It was wonderful to finally meet Tundu Lissu today. While the U.S. does not support any candidate or party in the upcoming election, we fully support a free, fair, and transparent process where all parties are afforded equal treatment".

Haya basi hima Magufuli, Mapoliccm na Tume wamfungie siku ZINGINE 7 za kutofanya Kampeni kwa kwenda KUONANA NA BEBERU LA MAREKANI.. ..🤣🤣!!!
 
View attachment 1593154

Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright. Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameonyesha kufurahishwa kukutana na Mwanasheria huyo nguli.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Donald J. Wright ameandika "It was wonderful to finally meet Tundu Lissu today. While the U.S. does not support any candidate or party in the upcoming election, we fully support a free, fair, and transparent process where all parties are afforded equal treatment".

View attachment 1593156
Hawa jamaa wadhihirishe kama kweli hawana Mgombea wanayempigia chapu kwa kuonana na Wagombea wengine, TADEA, NCCR MAGEUZI, CUF, nk. La sivyo ni janja janja ambayo Watanzania wameishaigundua.
 
TENA WATOE TAMKO JUU YA MIKUTANO YA LISU KWENYE MISURURU YA WATU HATA LISU MWENYEWE HAVAI BARAKOA, HUKU KORONA IKIWA NIJANGA. NAMUOMBA BAROZI HUYO AMUONYE HUYO LISU KUFANYA MIKUTANO YENYE MIKUSANYIKO YA WATU KWA KIPINDI HIKI CHA KORONA.
Kama kiongozi wa familia ndio unaandika hivi je, hao wengine miandiko si Ni kichefuchefu!
 
Back
Top Bottom