Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

Walivyo na furaha inaonyesha wamezungumza mambo ya msingi sana na hasa ishu hiyo ya uchaguzi.

Ni zamu ya yule mwingine, je ataweza kweli kuzungumza hoja za maana bila mkalimani?
Kuishi, unaishi TANZANIA, Ila akili zako zote ziko ulaya!!

Jiamini wewe! hata kama wewe ni mbweha, heshimu makazi yako na Lugha na utamaduni wako
 
Ana vyuma baada ya kupigwa risasi. MUNGU alimuumba mzima Ila kuna MTU ambae hawezi kuumba hata sisimizi amemfanya asimame upandeupande.
Bi mkubwa,huna haja ya kumjibu huyu.lisu kawashika wakachanganyikiwa wote,hawana hoja tena,kuanzia mwenyekiti wao.hukusikia Kule Zanzibar kuwa akistaafu urais lazima arudie mke mweupe peer.
 
tehe tehe tehe,balozi hapigi kura huyo kaenda kula ubwabwa tu
 

Attachments

  • FB_IMG_16016450303443904.jpg
    FB_IMG_16016450303443904.jpg
    46.9 KB · Views: 1
Yaani hizi picha zinafurahisha sana. Jembe Magufuli kasafisha njia. Tanzania hatuna corona.

Cheki wanavyo tabasamu no mask no unnecessary distance
 
Back
Top Bottom