Matojo Cosatta
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 234
- 390
Taja kwa bayana Ibara ya Katiba ya ACT- Wazalendo ambayo Maalim Seif Sharrif Hamad amevunja kwa kumuunga mkono Tundu Lissu vinginevyo maneno yako ni umbea na majungu katika macho ya sheria.Ukisikia udikteta ndio huu sasa.
Kwa mujibu wa katiba za Chadema na ACT - Wazalendo maamuzi yote makubwa na muhimu yanatolewa na vikao halali vya chama kama kamati kuu, halmashauri kuu, mkutano mkuu nk...
Pia, taja kwa bayana Ibara ya Katiba ya Chadema ambayo Tundu Lissu amevunja kwa kumuunga mkono Maalim Seif Sharrif Hamad vinginevyo maneno yako ni umbea na majungu katika macho ya sheria.
Mwanasheria yoyote ambaye ni professionally competent na anaheshimu taaluma yake atakwambia hivi hivi kama nilivyosema mimi.