Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa chama kimoja aweza muunga mkono mgombea urais wa chama kingine tofauti bila ridhaa ya Mkutano Mkuu wa chama chake?

Ukisikia udikteta ndio huu sasa.

Kwa mujibu wa katiba za Chadema na ACT - Wazalendo maamuzi yote makubwa na muhimu yanatolewa na vikao halali vya chama kama kamati kuu, halmashauri kuu, mkutano mkuu nk...
Taja kwa bayana Ibara ya Katiba ya ACT- Wazalendo ambayo Maalim Seif Sharrif Hamad amevunja kwa kumuunga mkono Tundu Lissu vinginevyo maneno yako ni umbea na majungu katika macho ya sheria.

Pia, taja kwa bayana Ibara ya Katiba ya Chadema ambayo Tundu Lissu amevunja kwa kumuunga mkono Maalim Seif Sharrif Hamad vinginevyo maneno yako ni umbea na majungu katika macho ya sheria.

Mwanasheria yoyote ambaye ni professionally competent na anaheshimu taaluma yake atakwambia hivi hivi kama nilivyosema mimi.
 
Kuna maajabu yanayovunja katiba za vyama kwenye uchaguzi huu mkuu.

Tumeona Lisu Makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA na mgombea uraisi kupitia Chadema akitoa tamko kuwa anamuunga mkono Mgombea uraisi wa Zanzibar Maalim Seif wa Act wazalendo....
Acha uongo webwege hawajasema wanachama wavyama vyao waungane ispokuwa kila moja amesema anamuunga mkono mwenzie tulieni mpate moto mmeanza kuhaha hampati pakutokea
 
Kwa hiyo mfano Lisu akisema anamuunga mkono Magufuli itakuwa sawa?
 
Mbona tlp, ccm, nccr na cuf wameungana kwa matamko ya wenyeviti wao tu. Tupe ushahidi kua kuna vikao vilikaliwa na wanaccm wakabariki umoja huu
 
Ninachohoji kwa mujibu wa katiba za vyama vyao hayo maamuzi yalitakiwa kufanywa na kamati kuu na mikutano mikuu yao sio wao kujiamulia kwenye majukwaa!
Ungekata rufaa ingependeza
 
We unajuaje kuwa hawakufata utaratubu wa kichama. La kutambua Ni kwamba Hawa wanashirikiana na Wala sio kulingana.
 
Acha waendelee kujazana ujinga, ila CCM mbele kwa mbele.
 
Hata sindano bado!
 

Umesahau Mrema na Cheyo walimuunga mkono JPM?
 
Wapinzani wana sarakasi nyingi sana, yaani wanamtosa mwenzao hivi hivi!

Ila ndivyo inavyotokeaga uwanjani timu ikizidiwa naona JPM amelikamatia dimba kisawasawa sasa wapinzani wanahaha tu.

CCM 5 Tenaa
 
ACT Wazalendo 80% Waislamu safi..hoja ya kuwatoa mahabusu masheikh inaenda kuwamaliza mbona mboga..ndio maana wanakaza kalio wakati wa kudungwa Sundance..
 
Kuna maajabu yanayovunja katiba za vyama kwenye uchaguzi huu mkuu.

Tumeona Lisu Makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA na mgombea uraisi kupitia Chadema akitoa tamko kuwa anamuunga mkono Mgombea uraisi wa Zanzibar Maalim Seif wa Act wazalendo...
Declare interest, wewe ni mwanachama wa ACT wazalendo au ni wa CHADEMA? Hata hivyo katiba ya JMT na katiba ya vyama hivyo viwili ni tofauti
.
 
Ukisikia udikteta ndio huu sasa.

Kwa mujibu wa katiba za Chadema na ACT - Wazalendo maamuzi yote makubwa na muhimu yanatolewa na vikao halali vya chama kama kamati kuu, halmashauri kuu, mkutano mkuu nk...
Sasa hivi katiba inaheshimiwa na walio madarakani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…