K Kwetuntwara JF-Expert Member Joined Jun 13, 2020 Posts 227 Reaction score 151 Sep 22, 2020 #61 johnthebaptist said: Ukisikia udikteta ndio huu sasa. Kwa mujibu wa katiba za Chadema na ACT - Wazalendo maamuzi yote makubwa na muhimu yanatolewa na vikao halali vya chama kama kamati kuu, halmashauri kuu, mkutano mkuu nk.... Click to expand... Usituambie maendeleo hayana vyama wakati tunaambiwa tukichagua wapinzani hatutapewa fedha ya kufanya maendeleo.
johnthebaptist said: Ukisikia udikteta ndio huu sasa. Kwa mujibu wa katiba za Chadema na ACT - Wazalendo maamuzi yote makubwa na muhimu yanatolewa na vikao halali vya chama kama kamati kuu, halmashauri kuu, mkutano mkuu nk.... Click to expand... Usituambie maendeleo hayana vyama wakati tunaambiwa tukichagua wapinzani hatutapewa fedha ya kufanya maendeleo.
M mnyoriii JF-Expert Member Joined Apr 18, 2020 Posts 507 Reaction score 493 Sep 22, 2020 #62 Simply....Lissu kama Lissu anamuunga mkono Maalim Seif na siyo Chadema Likewise Maalim kama yeye anamuunga mkono Lissu
Simply....Lissu kama Lissu anamuunga mkono Maalim Seif na siyo Chadema Likewise Maalim kama yeye anamuunga mkono Lissu