Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa chama kimoja aweza muunga mkono mgombea urais wa chama kingine tofauti bila ridhaa ya Mkutano Mkuu wa chama chake?

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa chama kimoja aweza muunga mkono mgombea urais wa chama kingine tofauti bila ridhaa ya Mkutano Mkuu wa chama chake?

Ukisikia udikteta ndio huu sasa.

Kwa mujibu wa katiba za Chadema na ACT - Wazalendo maamuzi yote makubwa na muhimu yanatolewa na vikao halali vya chama kama kamati kuu, halmashauri kuu, mkutano mkuu nk....
Usituambie maendeleo hayana vyama wakati tunaambiwa tukichagua wapinzani hatutapewa fedha ya kufanya maendeleo.
 
Simply....Lissu kama Lissu anamuunga mkono Maalim Seif na siyo Chadema
Likewise Maalim kama yeye anamuunga mkono Lissu
 
Back
Top Bottom