Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kujibu maswali ya wananchi watumiao mitandao

Tumejipangaje kuepuka umaradona,
Vipi tumeinstall VAR za kutosha.
 
Mkuu rais wetu vp kuhusu ulinzi wa kura zako na je mi naiman kuchaguliwa ni jambo moja na kutangazwa ni jambo jingine je utatumia nguvu ip ili kuwafanya nec na ccm yao wakutangaze kuwa mshindi?
Rais wa BAVICHA huyu
 
Hu
Huyo james wewe ndo mume wake?
Hata wewe ukitaka nakuoa, nipeleke lea wazazi wako nikulipie mahari!!

Mada kama huijui usidandie wewe soma uende mbele kama wengine.
Nakuletea James Delicio
Your browser is not able to display this video.

us akiwa na Wema, niambie kama kweli kuna mwanaume hapo:
 
Muheshimiwa Raisi Tundu Lissu kila mwaka mnadai mnaibiwa kura hivi mkipewa nchi si mtaibiwa rasilimali za nchi kwasababu ya uzembe na kukosa kwenu umakini?
Wanaibiwa kura kutokana na tume kutokuwa huru inaegemea upande mmoja, TUME imejipambanua wazi kua ni taasisi iliyokuwa na ukada wa kichama kitu ambacho kipo nje ya sheria ya katiba

Motto ya chadema ni "uhuru na haki" palipo na hivyo vitu viwili basi "wizi" hauchangamani kati yao
 
Wewe ni Lissu?
 

Umeandika libarua lireefu halina hata maana zaid ya pumba tuu
 
Maswali kaulizwa Lissu ,mwenyewe akipata muda anayapitia kisha anayajibu.
wewe sio muulizwa swali ndo maana umejibu tofauti.
Uongozi wa jamiiforums haujatoa kauli yeyote ya kuzuia wachangiaji kujibu maswali ya wachangiaji wenzake ambayo majibu yao wanayajua

Nisawa na mwanafunzi mtoro darasani kuna vipindi hakuudhuria anauliza maswali ya topic za nyuma ambazo wewe ulikuwepo. Katika hayo maswali wewe majibu yake unayajua, unamjibu kwa kumpa majibu sahihi ye anakuambia "aah kwani we ndio mwalimu? Nataka mpaka anijibu mwalimu mwenyewe"

Nia yake sio kupata majibu, nia yake ni kuonekana naye kaongea na mwalimu
 
Lisu aje ajibu sakata la yeye kutaka ndoa za jinsia moja ?

Ulaji wa ruzuku chadema?

Kuwa kibaraka wa wazungu?

Kupanga mauaji ya watanzania kwa kuwaweka barabarani wakati yeye akijificha ?

USSR
Hujauliza maswali bali umeandika maneno na kuweka alama ya kuuliza.
 
Lisu aje ajibu sakata la yeye kutaka ndoa za jinsia moja ?

Ulaji wa ruzuku chadema?

Kuwa kibaraka wa wazungu?

Kupanga mauaji ya watanzania kwa kuwaweka barabarani wakati yeye akijificha ?

USSR
Huyu ni nan?
 
Ni uwongo,
kama ni kweli aweke ushahidi ni kura ngapi na wapi na ninani aliiba ili isiwe hisia tu na visingizio vya kupata sababu ya kuficha aibu ya kushindwa.
Kushindwa na kushinda si aibu ni matokeo ya shindano. Hivyo hata team yenu na mgombea wenu auzoee mchezo .

Uwizi wa kura upo na hata wa kikanuni na kisheria upo. Mfano ni sasa Ccm imeshazawadiwa majimbo 20 na wilaya kama ya misungwi kutakuwa na kura moja ya urais. Huu ni uwizi
 
Ni uwongo,
kama ni kweli aweke ushahidi ni kura ngapi na wapi na ninani aliiba ili isiwe hisia tu na visingizio vya kupata sababu ya kuficha aibu ya kushindwa.
Katika kampeni ya mwaka 2015 mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Nyehunge nape nauye ali-declare kua ccm itashinda kwa bao la mkono (kinyume na sheria)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…