nyambaya kurwaki
Senior Member
- Apr 8, 2020
- 133
- 155
Nini msimamo wako kama tume haita denda haki kwa kubadili matokeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa BAVICHA huyuMkuu rais wetu vp kuhusu ulinzi wa kura zako na je mi naiman kuchaguliwa ni jambo moja na kutangazwa ni jambo jingine je utatumia nguvu ip ili kuwafanya nec na ccm yao wakutangaze kuwa mshindi?
Lastly hit point targetSwali langu na mapendekezo.
Kwanini ndugu Lisu asiende mikoa ya kusini kule watu walioporwa KOROSHO zao na huyu kifashist nduli MAGUFULI
Hata wewe ukitaka nakuoa, nipeleke lea wazazi wako nikulipie mahari!!Hu
Huyo james wewe ndo mume wake?
Wanaibiwa kura kutokana na tume kutokuwa huru inaegemea upande mmoja, TUME imejipambanua wazi kua ni taasisi iliyokuwa na ukada wa kichama kitu ambacho kipo nje ya sheria ya katibaMuheshimiwa Raisi Tundu Lissu kila mwaka mnadai mnaibiwa kura hivi mkipewa nchi si mtaibiwa rasilimali za nchi kwasababu ya uzembe na kukosa kwenu umakini?
Wewe ni Lissu?Wanaibiwa kura kutokana na tume kutokuwa huru inaegemea upande mmoja, TUME imejipambanua wazi kua ni taasisi iliyokuwa na ukada wa kichama kitu ambacho kipo nje ya sheria ya katiba
Motto ya chadema ni "uhuru na haki" palipo na hivyo vitu viwili basi "wizi" hauchangamani kati yao
Atakapokuja naomba mmchomekee na ki memo kutoka kwa Ad Majorem, Rais wa Wauza mahindi ya kuchoma , Moshi Manispaa:
1. Kuanzia Disemba mwaka Jana, DUNIA ilikubwa na janga la ugonjwa wa COVID-19, na hapa kwetu Tanzania, tangu Wakati huo, tulishuhudia wagonjwa wengi kabla serikali haijasitisha kutangaza wagonjwa wapya, baadae kusema hakuna wagonjwa. Chadema Kama Chama na Mgombea Urais(TL) na baadhi ya wanaharakati, tunaamini COVID-19 bado ipo na inaua japo serikali haitaki kutangaza. Sasa,
1. Je, Chadema na Lissu baada mnaamini kuwa COVID-19 bado ipo nchini?
2. Yapi maoni yako juu ya namna serikali ilivyopambana na janga Hilo? Na Je, iwapo wewe ndo ungekuwa rais, ungefuata njia gani kupambana na janga Hilo?
3. Mmeonekana kwenye mikutano yenu bila kumaintain social-distancing, kunawa mikono Wala kuvaa Barakoa. Je, ndo mmeamua msambaziane corrona hiyo mnayoamini bado ipo nchini na inauwa watu wengi?
Swali la Pili.
Kumekuwa na kauli zinazosemwa na washindani wako, kwamba ukichaguliwa kuwa Rais, Basi utahalalisha Ndoa za Jinsia Moja. Je, Upi ni msimamo wako juu ya changamoto za Wapenzi wa jinsia moja? Uhuru na haki yao ya faragha na kufurahia maisha Kama raia wengine?
Swali la tatu.
Inasemekana kuwa Robert Amsterdam's, mawakili wanaokusimamia na kukushauri kwa masuala ya kisheria, kwa Wakati fulani, waliwahi kufanya kazi na kampuni ya uchimbaji wa madini ACASIA, ambayo, Wakati fulani iliingia mgogoro na serikali ya JMT baada ya serikali kuzuia usafirishaji wa makinikia, Kama njia ya kulinda raslimali za Taifa. Raia wengi tunaamini, kitendo hiki Cha serikali, kilisaidia kulinda raslimali madini, kuhakikisha zinawanufaisha watu. Hivyo, kitendo Cha kutumia mawakili waliowahi fanya kazi na kampuni iliyokuwa kwenye mgogoro na serikali huoni Kama kina Leta Mgongano wa Kimaslahi( Conflict of interest) Kati ya pande zote tatu? Je, unauaminishaje umma wa Watanzania kuwa mawakili hao hawalipwi na ACASIA kwa lengo la wewe ukifanikiwa kushinda, uwarudishe kwenye industry ya Madini kwa Tanzania ili waendelee kutunyonya?
Asante.
Ni uongo ?! Au umechukia !Wewe ni Lissu?
Who cares?Wewe ni Lissu?
Maswali kaulizwa Lissu ,mwenyewe akipata muda anayapitia kisha anayajibu.Who cares?
unataka majibu ya maswali au unamtaka lissu?
Ni uwongo,Ni uongo ?! Au umechukia !
Hivi saa 2 hadi 4 haijafika bado? Au ni masaa ya kidhungu?Who cares?
unataka majibu ya maswali au unamtaka lissu?
Uongozi wa jamiiforums haujatoa kauli yeyote ya kuzuia wachangiaji kujibu maswali ya wachangiaji wenzake ambayo majibu yao wanayajuaMaswali kaulizwa Lissu ,mwenyewe akipata muda anayapitia kisha anayajibu.
wewe sio muulizwa swali ndo maana umejibu tofauti.
Hujauliza maswali bali umeandika maneno na kuweka alama ya kuuliza.Lisu aje ajibu sakata la yeye kutaka ndoa za jinsia moja ?
Ulaji wa ruzuku chadema?
Kuwa kibaraka wa wazungu?
Kupanga mauaji ya watanzania kwa kuwaweka barabarani wakati yeye akijificha ?
USSR
Huyu ni nan?Lisu aje ajibu sakata la yeye kutaka ndoa za jinsia moja ?
Ulaji wa ruzuku chadema?
Kuwa kibaraka wa wazungu?
Kupanga mauaji ya watanzania kwa kuwaweka barabarani wakati yeye akijificha ?
USSR
Kushindwa na kushinda si aibu ni matokeo ya shindano. Hivyo hata team yenu na mgombea wenu auzoee mchezo .Ni uwongo,
kama ni kweli aweke ushahidi ni kura ngapi na wapi na ninani aliiba ili isiwe hisia tu na visingizio vya kupata sababu ya kuficha aibu ya kushindwa.
Katika kampeni ya mwaka 2015 mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Nyehunge nape nauye ali-declare kua ccm itashinda kwa bao la mkono (kinyume na sheria)Ni uwongo,
kama ni kweli aweke ushahidi ni kura ngapi na wapi na ninani aliiba ili isiwe hisia tu na visingizio vya kupata sababu ya kuficha aibu ya kushindwa.